Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Need to change strategy. Haya mafuriko yasipumbaze maana mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 yalikuwa mara mbili ya haya ila CCM na NEC yao walifanya yao

Nakumbuka Mwaka 1995 watu walilala kwenye vituo kulinda kura za Lyatonga Mrema ila “bado hazikutosha”. It is insanity to keep doing the same thing and expect different results
 
13 September 2020
Iringa mjini, Tanzania

LIVE TOKA : MWEMBETOGWA IRINGA TANZANIA KAMPENI YA URAIS 2020 YA MGOMBEA WA CHADEMA TUNDU LISSU

Mnaposifia Mafuriko pia mkumbuke kuwa kama si ule msimamo wa Magufuli kuhusu corona basi sidhani kama sasa tungekuwa tunashindanisha mafuriko,Magufuli alisemwa sana kuhusu msimamo wake na kuonekana ameacha kufuata njia za kisayansi kukabiliana na corona na matokeo yake anafuata imani. Ila sasa wote tunafaidi matunda ya msimamo wake ila sivyo tungekuwa tunalia kama wenzetu wakenya.

Huwa unakuta mtu anawasema wasanii kuwa wanatumika tu ccm wakati huu wakati mtu huyo huyo ndio aliyekuwa anataka tujifungie ndani shughuli zisimame sasa sijui hata huyo angetumika wapi ili ajipatie riziki?

Mpigie simu Nkurunziza wa Burundi umuulize akwambie nini kilichomkuta😎😎😎
 
Unawafahamu wahehe wewe?subiria tare 28 October ndo hayo mafuriko utajua maana yake nini hapati kitu hapo!
 
Need to change strategy. Haya mafuriko yasipumbaze maana mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 yalikuwa mara mbili ya haya ila CCM na NEC yao walifanya yao

Nakumbuka Mwaka 1995 watu walilala kwenye vituo kulinda kura za Lyatonga Mrema ila “bado hazikutosha”. It is insanity to keep doing the same thing and expect different results
You a point which is incomplete,
What kind of strategy in your opinion do you think should be adopted ?
 
13 September 2020
Unguja, Zanzibar

Tundu Lissu, Matunda yake, yaonekana katika NYOMI la Maalim Seif Zanzibar

Tundu Lissu amepindua meza Tanganyika na hata Zanzibar.

Timu ya Wa-Mgombea ngangari kama Tundu Lissu na Maalim Seif mwaka huu 2020 ni tishio kwa CCM Mpya Tanganyika na CCM Zanzibar.

Wazee wa CCM wameonekana wakinongona kwa hofu, tahayari na kukosa usingizi wanasema kufuatana na kumbukumbu zao CCM haijapata kutikiswa na kampeni ngumu toka vyama vingine kama uchaguzi huu wa 2020 na kuna kila dalili kutatokea kupokezana madaraka Baina ya CCM na vyama vingine kuingia Ikulu za Unguja Zanzibar na Chamwino Dodoma kwa mara ya kwanza toka Mapinduzi ya 1964 Zanzibar na uhuru wa Tanganyika 1961.

Nyerere akihutubia mwaka 1971 kuhusu mfumo wa ubaguzi ingawa una maendeleo ya Vitu vikubwa Afrika ya kusini lakini hakuna Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu kwa wote
 
Need to change strategy. Haya mafuriko yasipumbaze maana mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 yalikuwa mara mbili ya haya ila CCM na NEC yao walifanya yao

Nakumbuka Mwaka 1995 watu walilala kwenye vituo kulinda kura za Lyatonga Mrema ila “bado hazikutosha”. It is insanity to keep doing the same thing and expect different results
Hiki ni kimbunga, Lissu amewatoa hofu wagombea ubunge na madiwani wake wote. Kazi walioachiwa ni kampeni ya nyumba kwa nyumba. Na kila wanapokwenda wanauliza wananchi kama wanafuraha na utawala huu. Wananchi wengi sana wameumizwa kama si kwa kilimo ni ajira, kama si mlipuko wa bei ni huduma za afya. Tozo la TRA nk.

Kutomrusha TBC ni bonus kwa Tundu Lissu.
 
Hiki ni kimbunga, Lissu amewatoa hofu wagombea ubunge na madiwani wake wote..
100% but kuna haja ya kwenda hatua moja mbele. Matokeo ya urais NEC ikishayataja, mchezo umeishia hapo. Mpango ni upi atleast kutally votes kwenye kila kituo ili hata NEC wakijaribu kufanya yao, malalamiko yawe backed up na credible data?
 
Need to change strategy. Haya mafuriko yasipumbaze maana mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 yalikuwa mara mbili ya haya ila CCM na NEC yao walifanya yao

Nakumbuka Mwaka 1995 watu walilala kwenye vituo kulinda kura za Lyatonga Mrema ila “bado hazikutosha”. It is insanity to keep doing the same thing and expect different results
Mkuu mbona Lowassa alishinda,Jaji Lubuva akapindua za Lowassa akampa Pombe na zq Pombe akampa Lowassa..
 
100% but kuna haja ya kwenda hatua moja mbele. Matokeo ya urais NEC ikishayataja, mchezo umeishia hapo. Mpango ni upi atleast kutally votes kwenye kila kituo ili hata NEC wakijaribu kufanya yao, malalamiko yawe backed up na credible data?
Hilo likowazi na linafanyiwa kazi
100% but kuna haja ya kwenda hatua moja mbele. Matokeo ya urais NEC ikishayataja, mchezo umeishia hapo. Mpango ni upi atleast kutally votes kwenye kila kituo ili hata NEC wakijaribu kufanya yao, malalamiko yawe backed up na credible data?

Uongozi unalitambua hilo, ni kama ulivyosema tunakwenda hatua kwa hatua. Si muda muafaka wa kujadili hilo adui atapata mwanya.
 
Mnaposifia Mafuriko pia mkumbuke kuwa kama si ule msimamo wa Magufuli kuhusu corona basi sidhani kama sasa tungekuwa tunashindanisha mafuriko,Magufuli alisemwa sana kuhusu msimamo wake na kuonekana ameacha kufuata njia za kisayansi kukabiliana na corona na matokeo yake anafuata imani. Ila sasa wote tunafaidi matunda ya msimamo wake ila sivyo tungekuwa tunalia kama wenzetu wakenya.

Huwa unakuta mtu anawasema wasanii kuwa wanatumika tu ccm wakati huu wakati mtu huyo huyo ndio aliyekuwa anataka tujifungie ndani shughuli zisimame sasa sijui hata huyo angetumika wapi ili ajipatie riziki?

Acha taarabu mtoto wa kiume kisa Yesu feki wa Lugola
 
Back
Top Bottom