Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Wale WA magu ndio wapiga kurasasa hao ni wapiga kura au wasikilizaji tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale WA magu ndio wapiga kurasasa hao ni wapiga kura au wasikilizaji tu?
Mnaposifia Mafuriko pia mkumbuke kuwa kama si ule msimamo wa Magufuli kuhusu corona basi sidhani kama sasa tungekuwa tunashindanisha mafuriko,Magufuli alisemwa sana kuhusu msimamo wake na kuonekana ameacha kufuata njia za kisayansi kukabiliana na corona na matokeo yake anafuata imani. Ila sasa wote tunafaidi matunda ya msimamo wake ila sivyo tungekuwa tunalia kama wenzetu wakenya.
Huwa unakuta mtu anawasema wasanii kuwa wanatumika tu ccm wakati huu wakati mtu huyo huyo ndio aliyekuwa anataka tujifungie ndani shughuli zisimame sasa sijui hata huyo angetumika wapi ili ajipatie riziki?
You a point which is incomplete,Need to change strategy. Haya mafuriko yasipumbaze maana mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 yalikuwa mara mbili ya haya ila CCM na NEC yao walifanya yao
Nakumbuka Mwaka 1995 watu walilala kwenye vituo kulinda kura za Lyatonga Mrema ila “bado hazikutosha”. It is insanity to keep doing the same thing and expect different results
Mungu ambariki sana Tundu Lissu mtu wa Mungu.Asante sana Mungu kwa kutuletea Tundu Antiphas Lissu!!
Go Lissu!! Lissu all the way!
Uwanja wa mwembotogwa ni mdogo sana yaani hata wanafunzi wa shule moja hawatoshi kuweka assemblyPicha zinapigwa kiujanja ujanja sana kampeni za Chadema
Alete za kwake Jpm na mseveni leoSwali mbona wew huleti picha? So wew ni tbc au na wew walikufukuza?
Hiki ni kimbunga, Lissu amewatoa hofu wagombea ubunge na madiwani wake wote. Kazi walioachiwa ni kampeni ya nyumba kwa nyumba. Na kila wanapokwenda wanauliza wananchi kama wanafuraha na utawala huu. Wananchi wengi sana wameumizwa kama si kwa kilimo ni ajira, kama si mlipuko wa bei ni huduma za afya. Tozo la TRA nk.Need to change strategy. Haya mafuriko yasipumbaze maana mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 yalikuwa mara mbili ya haya ila CCM na NEC yao walifanya yao
Nakumbuka Mwaka 1995 watu walilala kwenye vituo kulinda kura za Lyatonga Mrema ila “bado hazikutosha”. It is insanity to keep doing the same thing and expect different results
100% but kuna haja ya kwenda hatua moja mbele. Matokeo ya urais NEC ikishayataja, mchezo umeishia hapo. Mpango ni upi atleast kutally votes kwenye kila kituo ili hata NEC wakijaribu kufanya yao, malalamiko yawe backed up na credible data?Hiki ni kimbunga, Lissu amewatoa hofu wagombea ubunge na madiwani wake wote..
Mkuu mbona Lowassa alishinda,Jaji Lubuva akapindua za Lowassa akampa Pombe na zq Pombe akampa Lowassa..Need to change strategy. Haya mafuriko yasipumbaze maana mafuriko ya Lowassa mwaka 2015 yalikuwa mara mbili ya haya ila CCM na NEC yao walifanya yao
Nakumbuka Mwaka 1995 watu walilala kwenye vituo kulinda kura za Lyatonga Mrema ila “bado hazikutosha”. It is insanity to keep doing the same thing and expect different results
Unaongea nini wewe?Lissu hata akishinda haitasaidia, CCM karibu wabunge 50 wamepitishwa na NEC bila ridhaa ya wananchi hivyo hata kuwa na nguvu yoyote
Hilo likowazi na linafanyiwa kazi100% but kuna haja ya kwenda hatua moja mbele. Matokeo ya urais NEC ikishayataja, mchezo umeishia hapo. Mpango ni upi atleast kutally votes kwenye kila kituo ili hata NEC wakijaribu kufanya yao, malalamiko yawe backed up na credible data?
100% but kuna haja ya kwenda hatua moja mbele. Matokeo ya urais NEC ikishayataja, mchezo umeishia hapo. Mpango ni upi atleast kutally votes kwenye kila kituo ili hata NEC wakijaribu kufanya yao, malalamiko yawe backed up na credible data?
Mnaposifia Mafuriko pia mkumbuke kuwa kama si ule msimamo wa Magufuli kuhusu corona basi sidhani kama sasa tungekuwa tunashindanisha mafuriko,Magufuli alisemwa sana kuhusu msimamo wake na kuonekana ameacha kufuata njia za kisayansi kukabiliana na corona na matokeo yake anafuata imani. Ila sasa wote tunafaidi matunda ya msimamo wake ila sivyo tungekuwa tunalia kama wenzetu wakenya.
Huwa unakuta mtu anawasema wasanii kuwa wanatumika tu ccm wakati huu wakati mtu huyo huyo ndio aliyekuwa anataka tujifungie ndani shughuli zisimame sasa sijui hata huyo angetumika wapi ili ajipatie riziki?
Yani hadi sasa bado tunatumia mifano ya nje ya nchi?Mpigie simu Nkurunziza wa Burundi umuulize akwambie nini kilichomkuta😎😎😎
Na hapo ndipo mnafeli. Yaani hamsemi nini mtawafanyia wananchi zaidi ya matusi.Leo Lukuvi ni zamu yake kupewa ujumbe mwanana