Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

Leo sijaona kabisa picha za mheshimiwa Tundu Lissu popote za mikutano yake, sio twitter wala facebook , wala Instagram, mwenye nazo atupie tafadhali.
 
Hongera Sana Cha ajabu picha za watu ni zilezile kuanzia tunduma Hadi kigoma
 
Leo zile tambo za nyomi la kufa mtu sizisikii. Jamaa wameanza kutetemeka. Wamebaki kutengeneza picha na kujidanganya wakati wote tumeona taarifa ya habari hali ilivyokuwa.
Usibweke tu ka mbwa, ingia hata millardayo YouTube ujionee.
 
tafadhali share link ya speech ya Kigoma leo.
 
Leo sijaona kabisa picha za mheshimiwa Tundu Lissu popote za mikutano yake, sio twitter wala facebook , wala Instagram, mwenye nazo atupie tafadhali.
Kweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!

We shughulika na mambo ya CCM mnavyoshikana uchawi huko kwenu. Naskia mmetimua mwenyekiti kagera leo??
 
Naam, wameanza kufukuzana tayari... Ni kuchanganyikiwa big time!
Kweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!

We shughulika na mambo ya CCM mnavyoshikana uchawi huko kwenu. Naskia mmetimua mwenyekiti kagera leo??
 
Kuna thread hapa Jf
Ukienda fb page ITv na Millard wanapost
Taarifa ya habari za ITV na azam utv zilionekana kiufupi ni halaiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…