Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Leo zile tambo za nyomi la kufa mtu sizisikii. Jamaa wameanza kutetemeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo zile tambo za nyomi la kufa mtu sizisikii. Jamaa wameanza kutetemeka.
Ulikuwa unatakaje tukusaidie wewe chakubimbiLeo zile tambo za nyomi la kufa mtu sizisikii. Jamaa wameanza kutetemeka.
Punguza hasira kamanda.
Hivi huoni hiyo picha imetengenezwa. Unataka kumdanganya nani sasa?
Leo zile tambo za nyomi la kufa mtu sizisikii. Jamaa wameanza kutetemeka. Wamebaki kutengeneza picha na kujidanganya wakati wote tumeona taarifa ya habari hali ilivyokuwa.
umekuja kufanya nini sasa ?
View attachment 1574697
Watu wamejaa kiasi chake mikoa mingine ni yakugawana kura
Endelea kupanua magoli .Hivi huoni hiyo picha imetengenezwa. Unataka kumdanganya nani sasa?
Umedhalilika sasa unaona aibu !Haisaidii kitu.
Wadanganye makamanda uchwara wenzako, inatosha.Endelea kupanua magoli .
Kivipi?Umedhalilika sasa unaona aibu !
Usibweke tu ka mbwa, ingia hata millardayo YouTube ujionee.Leo zile tambo za nyomi la kufa mtu sizisikii. Jamaa wameanza kutetemeka. Wamebaki kutengeneza picha na kujidanganya wakati wote tumeona taarifa ya habari hali ilivyokuwa.
Kwa nini nipoteze muda?Usibweke tu ka mbwa, ingia hata millardayo YouTube ujionee.
Wanajisahau kuna vyombo vya habar vinaonyesha kwenye taarifa za habar..Hivi huoni hiyo picha imetengenezwa. Unataka kumdanganya nani sasa?
tafadhali share link ya speech ya Kigoma leo.Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika.
----
Napenda kuwashukuru Wananchi wa Kigoma kwa wema wenu, kipindi naumwa nilipata salam zenu za pole kutoka kwa Kijana wenu Zitto Kabwe toka nilipokuwa Nairobi mpaka Ubelgiji. Ahsanteni sana kwa salaam.
Kigoma ndiyo ngome ya upinzani toka mwaka 1995 mfumo wa vyama vingi kuanza. Napenda Kusema kuwa Kigoma ndiyo kambi iliyojitosheleza Kwa upinzani wa kweli. Kwenye Uchaguzi huu wa kihistoria mikoa mingine yote inaangalia Kigoma mtafanya nini.
Kwenye uchaguzi huu Kigoma tunawaomba mtuongoze kuwaondoa ccm madarakani, hivyo basi chagueni Diwani au Mbunge anayeweza kuiondoa ccm. Kwangu mimi adui namba moja ni ccm basi tuchague mgombea atakayeishinda ccm. Nawaaminia sana watu wa Kigoma kama mnavyofanya miaka yote.
Agenda za Uchaguzi za Chadema uchaguzi huu ni Uhuru, haki na Maendeleo ya watu, hii ndiyo agenda yetu kuu uchaguzi Mkuu huu. Uhuru na Maendeleo ni kitu kimoja na muhimu kwa mustakabali wa taifa letu. Maendeleo maana yake ni Maendeleo ya watu, mazao na mabarabara sio maendeleo
=========
UPDATES 1
Akiwa njiani kuelekea Kigoma Azuiliwa na umati wa wanakijiji cha Lugufu , kata ya Mishamo Mpanda vijijini waliotaka awasalimie na kuwapa neno
UPDATES 2
Mwandiga - Kigoma
UPDATES 3 :
Kigoma
View attachment 1574700
Video :
Kweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!Leo sijaona kabisa picha za mheshimiwa Tundu Lissu popote za mikutano yake, sio twitter wala facebook , wala Instagram, mwenye nazo atupie tafadhali.
Kweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!
We shughulika na mambo ya CCM mnavyoshikana uchawi huko kwenu. Naskia mmetimua mwenyekiti kagera leo??