Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Jembe nn hilo jizi kubwaHata wewe na mume wako na mume wa dada yako mumchague huyo(yuda iskariote) hapati hata robo ya kura za jembe magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jembe nn hilo jizi kubwaHata wewe na mume wako na mume wa dada yako mumchague huyo(yuda iskariote) hapati hata robo ya kura za jembe magufuli
Naona ana hasira hawataki kukubali ukweli wakati mioyo yao inawambia ukweliWe bibi mbona una hasiira sana au ndio reaction ya Lissu Tsunamiasisi?
Inapendeza na ina tupa matumaini sanasana19 September 2020
Kigoma ,Tanzania
Tundu Lissu 2020 : Kigoma yenu ni ngome ya upinzani toka 1995 , hongereni sana
Sisi CHADEMA na mie Tundu Lissu tunakuja kwa unyenyekevu kutokana na Kigoma kuwa mstari wa mbele kuongoza mageuzi.
Kwa hivyo katika uchaguzi huu wa kihistoria tunawaomba muendelee kutuongoza katika kuingoa CCM 2020.
c.c Erthrocyte
pole dada kwa yaliyokukutaMsaliti lissu
CCM walitaka kumloga dadadeq wakashindwa...
Anajisumbua tu hawezi kuwa raisi,hakuna mtu atakae mchagua,hata mwenyewe yuda iskariote anajua hawezi kuwa raisi
Mkuu, huyo ni mdada asiyejitambua. Ameshindwa kujenga hoja ameishia kuleta MIPASHO tu humu, mume wake ni lazima atakua anapitia wakati mgumu sana huko kwao.Wewe ni mpuuzi mmoja tu hujitambui kama wewe hutamchagua ni wewe ila sisi na mke wako tutamchagua lisu
Dunia haina siri dadaanguYapi?
Yuda Iskariote ndiye tuliye naye sasa hivi.Hana uwezo wa kushinda toka lini yuda iskariote akafanikiwa
Hivi siku hizi jembe ndiyo alama ya muuaji?Halafu yuda iskariote lisu na misukule yake inajitoa ufahamu wakati wanajua wazi hawawezi kuta hata robo ya kura za jembe magufuli
Ngumu kumesa [emoji848]View attachment 1574274
Kuna mgombea alizomewa pale kigoma hivi kuna mtu anaclip yake?
maneja kampeni wa lissu, nakukumbusha tena ,usisahau kumkumbusha lissu, atakapo fika kanda ya ziwa asisahau kuzungumzia kuhusu kitendo cha magufuri na serikali yake kuchoma zana za uvuvi pamoja na mitumbwi yao ameshiriki kuwafilisi wavuvi
Aiseeee !!Pia kuongeza ushuru wa dagaa Hadi wacongomani wakahadimika njaa ikaingia ziwani
Leo zile tambo za nyomi la kufa mtu sizisikii. Jamaa wameanza kutetemeka. Wamebaki kutengeneza picha na kujidanganya wakati wote tumeona taarifa ya habari hali ilivyokuwa.Naona uzi umepooza haahaha