Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Subirini kugaragazwa October 28th maana JPM atashinda kwa kishindo.
October 28th kura zote kwa JPM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mtaani mnaenda kufanya nini? Kama mnaenda sokoni au mizunguko ya kila siku sawa ila kinyume na hapo nikuite Keyboard warrior.Tunajua Mahela atamtangaza Magufuli mshindi japo atashindwa. Tumejiandaa tu kuingia mtaani nchi nzima.
Mtaani mnaenda kufanya nini? Kama mnaenda sokoni au mizunguko ya kila siku sawa ila kinyume na hapo nikuite Keyboard warrior.
October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Jamani polen na majukum ya kila siku
mimi niko meatu namungoja Tundu Lissu mwenye taarif kamil anijuze muda huu yuko wapi
Tatizo lako, umelisema mwenyewe kwenye comment zako hapa, ‘mmekalili’ sasa endelea kukariri, lakini zama zimebadilika!Nataka kusema Lisu wenu haingii hata mara 10 kwenye mafuriko ya Slaa achilia mbali haya ha juzi juzi ya Lowasa.
Safari hii hakuna namna wataondoka watake wasitake..hivi Bashite yuko wapi?Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
LISU anashinda hata kama sio kihalali! Wewe mwenyewe utashangaa, hutaamini!Mkuu CCM siku inaanguka hadi wanyama pori na wadudu watambaao watajua kuna jambo limetokea nchini kwao. Kila kiumbe hai nchini kitatikiswa.
Anafanya vizuri ila sioni wala mazingira ya Kushinda kihalali hats kwa hila naona atashindwa. Ila anaweza kuwa stepping stone ya kuimalizia KAZI yake 2025 akiwa makini miaka hii 5 asitolewe masikioni mwa wananchi
Afu tuone kama hao police 5 watatuweza!!Tunajua Mahela atamtangaza Magufuli mshindi japo atashindwa. Tumejiandaa tu kuingia mtaani nchi nzima.
Hii ndy sababu kuu..ila wakati ni ukuta...Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
Ushauri wako umepokelewaKwa sisi wataalamu wa mambo tunavyoziona hizi kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo nimependa kupata Landslide sasa ushauri wangu kwa Wanachadema wote ni mkakati ya kuhakikisha ushindi huu unalindwa siku ya kuhesabu kura
Wengine waendelee na kampeni na wengine waanze kujipanga na kuandaa wasimamizi wenye uchu na mabadiliko
BaasiMagufuli anapendwa na NEC, Masjili wa vyama, polisi, Musiba na TISS. Hatuna bunduki lakini nguvu ya umma ina nguvu kuliko ya bunduki. Hautaamini mwishoni mwa mwezi huu. Zanzibar nako hivyo hivyo. Kama umeajiriwa CCM, anza kutafuta kazi sehemu nyingine.
Hebu toa huo uchafu wako hapaWewe bhana acha mikwara yako muhimu October 28th nenda kaweke tiki kwenye sehemu ya JPM ufurahie maendeleo hakuna nchi inayoendeshwa kiharakati ndugu yangu.
October 28th kura zote kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
Kwa pamoja tukampe kura JPM October 28th.Hebu toa huo uchafu wako hapa
Mko wangapi ?Kwa pamoja tukampe kura JPM October 28th.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA