Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Tunajua Mahela atamtangaza Magufuli mshindi japo atashindwa. Tumejiandaa tu kuingia mtaani nchi nzima.
Mtaani mnaenda kufanya nini? Kama mnaenda sokoni au mizunguko ya kila siku sawa ila kinyume na hapo nikuite Keyboard warrior.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Magufuli anapendwa na NEC, Masjili wa vyama, polisi, Musiba na TISS. Hatuna bunduki lakini nguvu ya umma ina nguvu kuliko ya bunduki. Hautaamini mwishoni mwa mwezi huu. Zanzibar nako hivyo hivyo. Kama umeajiriwa CCM, anza kutafuta kazi sehemu nyingine.
Mtaani mnaenda kufanya nini? Kama mnaenda sokoni au mizunguko ya kila siku sawa ila kinyume na hapo nikuite Keyboard warrior.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Leo jioni atakuwa hapo Mwanhuzi na lalago
Jamani polen na majukum ya kila siku
mimi niko meatu namungoja Tundu Lissu mwenye taarif kamil anijuze muda huu yuko wapi
 
Wewe bhana acha mikwara yako muhimu October 28th nenda kaweke tiki kwenye sehemu ya JPM ufurahie maendeleo hakuna nchi inayoendeshwa kiharakati ndugu yangu.

October 28th kura zote kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nataka kusema Lisu wenu haingii hata mara 10 kwenye mafuriko ya Slaa achilia mbali haya ha juzi juzi ya Lowasa.
Tatizo lako, umelisema mwenyewe kwenye comment zako hapa, ‘mmekalili’ sasa endelea kukariri, lakini zama zimebadilika!
 
Furaha ya Taifa stars kufuzu AFCON mwaka jana itapitwa mara 10000 29/10 Lissu akitajwa mshindi..
 
Ila jamani watanzania wanataka mabadiliko tuache utani, sema ccm kuiachia upinzani nchi ndo shida yao, kwanza wanalinda mali zao za chama walizozipoka toka serikalini, pili wanalinda maslahi yao. SHIDA NDO HUANZIA HAPO.
Safari hii hakuna namna wataondoka watake wasitake..hivi Bashite yuko wapi?
 
Mkuu CCM siku inaanguka hadi wanyama pori na wadudu watambaao watajua kuna jambo limetokea nchini kwao. Kila kiumbe hai nchini kitatikiswa.

Anafanya vizuri ila sioni wala mazingira ya Kushinda kihalali hats kwa hila naona atashindwa. Ila anaweza kuwa stepping stone ya kuimalizia KAZI yake 2025 akiwa makini miaka hii 5 asitolewe masikioni mwa wananchi
LISU anashinda hata kama sio kihalali! Wewe mwenyewe utashangaa, hutaamini!
 
Kwa sisi wataalamu wa mambo tunavyoziona hizi kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaenda kupata Landslide sasa ushauri wangu kwa Wanachadema wote ni mkakati ya kuhakikisha ushindi huu unalindwa siku ya kuhesabu kura

Wengine waendelee na kampeni na wengine waanze kujipanga na kuandaa wasimamizi wenye uchu na mabadiliko
 
Subpost 5 - Ahsanteni Sana SIMIYU. ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Ahsanteni Sana SIMIYU. ( 500 X 750 ).jpg
Subpost 4 - Ahsanteni Sana SIMIYU. ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Ahsanteni Sana SIMIYU. ( 426 X 640 ).jpg
 
Kwa sisi wataalamu wa mambo tunavyoziona hizi kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo nimependa kupata Landslide sasa ushauri wangu kwa Wanachadema wote ni mkakati ya kuhakikisha ushindi huu unalindwa siku ya kuhesabu kura

Wengine waendelee na kampeni na wengine waanze kujipanga na kuandaa wasimamizi wenye uchu na mabadiliko
Ushauri wako umepokelewa
 
Magufuli anapendwa na NEC, Masjili wa vyama, polisi, Musiba na TISS. Hatuna bunduki lakini nguvu ya umma ina nguvu kuliko ya bunduki. Hautaamini mwishoni mwa mwezi huu. Zanzibar nako hivyo hivyo. Kama umeajiriwa CCM, anza kutafuta kazi sehemu nyingine.
Baasi
 
Wewe bhana acha mikwara yako muhimu October 28th nenda kaweke tiki kwenye sehemu ya JPM ufurahie maendeleo hakuna nchi inayoendeshwa kiharakati ndugu yangu.

October 28th kura zote kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hebu toa huo uchafu wako hapa
 
Hata mseto watakubali ilimradi mambo yao yasiharibiwe hadharani.

Back
Top Bottom