Wewe huko team kiba unatetea team kiba post zako zote alafu unalaumu teams! Tetea team yako na wenzio watetee team zao. Ndio mziki ulipofika hatuna jinsi. Ila kiukweli mwaka wa Diamond tuzo 7 na wa 20% walistahili tuzo zote ata ukiangalia hapo. Ila mwaka huu inabidi kutumia nguvu kuupindisha ukweli uliokaa wazi.
#niffah .... Yani from today mimi ni team kibaaaa...
Hehee watu waacheeee dharau, dharau dharau mbayaaa.. Huu ni mwanzo tu.
ulikuwa team gan before?
Kiazi kweli ww... Yupi mwenye nyimbo nzuri? Wimbo upi wa diamond wenye maudhui kwa jamii? Wimbo upi wa diamond wenye kuhamasisha jambo? Hizo akili za kushikiwa
Inawezekana kweli nikawa naupenda muziki wa Kiba...Kuniita 'Team Kiba' ni matusi...Sishabikii upuuzi huo...Wewe huko team kiba unatetea team kiba post zako zote alafu unalaumu teams! Tetea team yako na wenzio watetee team zao. Ndio mziki ulipofika hatuna jinsi. Ila kiukweli mwaka wa Diamond tuzo 7 na wa 20% walistahili tuzo zote ata ukiangalia hapo. Ila mwaka huu inabidi kutumia nguvu kuupindisha ukweli uliokaa wazi.
Mgumu kuelewa mama ako mzazi mxiuuu, achana na mm
Mimi niwe muwazi, sina shida na tuzo za Ali, ila KTMA kosa dogo walilolifanya ni kutoa tuzo ya mtumbuizaji bora kwa Ali. Watu wanaweza kuhisi kuwa Ali kabebwa lakini ukiangalia kwa mbali ni kama wamemhujumu Ali kwa kumpa tuzo hii.
Ni kupoteza sifa na ubora wa tuzo kwa kufanya maamuzi ambayo hata wewe mfanyaji unakosa ground. Anaweza akapandishwa kwa muda mfupi lakini umma unaweza ukachukia kwa muda mrefu.
Nilikaa Uganda kwa muda, nakumbuka kulikuwa na mchuano mkali kati ya Chameleon na Babe Cool, media zilimpandisha babecool kama jitihada za kumshusha Chameleon. Lakini tofauti na wenzetu, wao matumizi ya akili huweka mbele sana, walikataa baadhi ya mambo kama huu upuuzi uliofanywa hapa openly.
Tuache ukiba na unaseeb.
Tuzo za mtvmama tuiweke Tz mbele.
vote for Diamond.
vote for Vanessa.
Vote for Tz., be proud of Tz
Wewe huko team kiba unatetea team kiba post zako zote alafu unalaumu teams! Tetea team yako na wenzio watetee team zao. Ndio mziki ulipofika hatuna jinsi. Ila kiukweli mwaka wa Diamond tuzo 7 na wa 20% walistahili tuzo zote ata ukiangalia hapo. Ila mwaka huu inabidi kutumia nguvu kuupindisha ukweli uliokaa wazi.
shikamoo team wemaa
Kwa ujinga wa 'Teams' unaooneshwa hapa...Kuna hatari Diamond na Vanessa wakaambulia patupu hizo tuzo za MaMa
Hahaaaaa
Hahaaaaa