Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Wewe huko team kiba unatetea team kiba post zako zote alafu unalaumu teams! Tetea team yako na wenzio watetee team zao. Ndio mziki ulipofika hatuna jinsi. Ila kiukweli mwaka wa Diamond tuzo 7 na wa 20% walistahili tuzo zote ata ukiangalia hapo. Ila mwaka huu inabidi kutumia nguvu kuupindisha ukweli uliokaa wazi.

hhahhhaaaahhhaaa....!!
gentlema n my foooot....!!
 
kwanza kabisa diamond mwenyewe hakuomba kura hali akijua kabisa utaratibu wa kupata mshindi ni kwa kupiga kura.
bella ni kweli alisitahili tuzo lakini je mashabiki wa bella mlishiriki kumpigia kura? Au mnalalama tu.

Psychologically matukio yanayo husisha watu wengi huwa yanaathiriwa na dhana inayoitwa diffussion of responsibility, kuamini kuwa kuna mtu atampigia tu na atashinda hivyo mtu huyo hashiriki zoezi akiamini litafanikiwa tu kwa kuwa wapo tu watafanya kwa niaba.

Tatu, Watz tujifunze kujua taratibu za mambo na kuzifata sio kulalamika tu.mshindi atapatikana kwa kura so you either vote and stop complaining or you dont vote and keep on lamenting.
 
tuliwaambia hapa team chibu pigeni kura jamani pigeni kuraw
mkajua majaji watahamisha kura za kiba wampe mondi mavi yenuuu....
 
Tuache ukiba na unaseeb.

Tuzo za mtvmama tuiweke Tz mbele.

vote for Diamond.
vote for Vanessa.

Vote for Tz., be proud of Tz
 
Mtu aliyepewa icon na rais kwa kuzid kuitangaza nchi yake anaonekana sio bora
Nchi ovyoooooo
 
Kiazi kweli ww... Yupi mwenye nyimbo nzuri? Wimbo upi wa diamond wenye maudhui kwa jamii? Wimbo upi wa diamond wenye kuhamasisha jambo? Hizo akili za kushikiwa

Mkuu nadhani watu hawalalamiki kuwa diamond kanyimwa,wala watu hajasema diamond ana nyimbo zenye maudhui...watu wanalalamika facts kuwa kuna baadhi ya vipengele viko wazi kwamba ni upendeleo umefanyika(japo mnatetea kura za wananchi)..watu wana mashaka na nyimbo ya mwana Vs nani kama mama?? wala kwenye iyo category hamna mtu aliesema domo alistahili japo nayeye alikuwepo,wanamwongelea Bella hapo maana ilikuwa wazi.........iyo ya mtumbuizaji bora nayo mhhhhh???!!! hamna kitu pale, ilikuwa asante KMTA.
 
Wewe huko team kiba unatetea team kiba post zako zote alafu unalaumu teams! Tetea team yako na wenzio watetee team zao. Ndio mziki ulipofika hatuna jinsi. Ila kiukweli mwaka wa Diamond tuzo 7 na wa 20% walistahili tuzo zote ata ukiangalia hapo. Ila mwaka huu inabidi kutumia nguvu kuupindisha ukweli uliokaa wazi.
Inawezekana kweli nikawa naupenda muziki wa Kiba...Kuniita 'Team Kiba' ni matusi...Sishabikii upuuzi huo...

Mimi naupenda muziki...Sijui kuna ushabiki gani nilioueleza hapo juu zaidi ya kuzungumzia kigezo cha wimbo wa Mwana kumuwezesha Ali Kiba kushinda tuzo 5(6 na ile ya kushirikishwa) kama ilivokuwa kwa wimbo wa My Number One ulivomuwezesha Diamond kishinda tuzo 6(7 pamoja na ile ya kushirikishwa) mwaka 2014...

Kwa 20% yeye ni tofauti..Alikuwa na nyimbo 2 ambazo zilikuwa hits mtaani kipindi hizo...Ya nini Malumbano na Tamaa mbaya...Hizi ndizo zilimuwezesha kushinda Tuzo 5...

Mimi ni mpenzi tu wa muziki...Diamond akitoa wimbo mzuri nitaupenda tu (mfano ni huu wa 'Nana')...Ali Kiba akitoa wimbo mzuri nitaupenda..Rich Mavoco...Msondo Ngoma..Sikinde na wengine wakitoa wimbo na kufanya muzimi mzuri nitaupenda tu pasipo kuongozwa na hisia za so called 'Teams'...

Ungeniambia mimi ni 'Team Nginde' ama 'Team Pambamoto, Vijana Jazz' ningekuelewa Chifu...
 
Mimi niwe muwazi, sina shida na tuzo za Ali, ila KTMA kosa dogo walilolifanya ni kutoa tuzo ya mtumbuizaji bora kwa Ali. Watu wanaweza kuhisi kuwa Ali kabebwa lakini ukiangalia kwa mbali ni kama wamemhujumu Ali kwa kumpa tuzo hii.

Ni kupoteza sifa na ubora wa tuzo kwa kufanya maamuzi ambayo hata wewe mfanyaji unakosa ground. Anaweza akapandishwa kwa muda mfupi lakini umma unaweza ukachukia kwa muda mrefu.

Nilikaa Uganda kwa muda, nakumbuka kulikuwa na mchuano mkali kati ya Chameleon na Babe Cool, media zilimpandisha babecool kama jitihada za kumshusha Chameleon. Lakini tofauti na wenzetu, wao matumizi ya akili huweka mbele sana, walikataa baadhi ya mambo kama huu upuuzi uliofanywa hapa openly.

umenena ukweli mkuu
 
Tuache ukiba na unaseeb.

Tuzo za mtvmama tuiweke Tz mbele.

vote for Diamond.
vote for Vanessa.

Vote for Tz., be proud of Tz

Kwa ujinga wa 'Teams' unaooneshwa hapa...Kuna hatari Diamond na Vanessa wakaambulia patupu hizo tuzo za MaMa
 
Wewe huko team kiba unatetea team kiba post zako zote alafu unalaumu teams! Tetea team yako na wenzio watetee team zao. Ndio mziki ulipofika hatuna jinsi. Ila kiukweli mwaka wa Diamond tuzo 7 na wa 20% walistahili tuzo zote ata ukiangalia hapo. Ila mwaka huu inabidi kutumia nguvu kuupindisha ukweli uliokaa wazi.

We jamaa mpaka utunzi bora alistahili ? Mbele ya barnaba

Teh basi kiba amestahili pia
 
Kwa ujinga wa 'Teams' unaooneshwa hapa...Kuna hatari Diamond na Vanessa wakaambulia patupu hizo tuzo za MaMa

Huku nchi za wenzetu wako tofauti Sana,

Kama wa-south wanasuport Sana watu wao, na ukiwauliza wana kwambia wa-tz wako vizuri kwny entertainment hasa big-brothers huwa wanafanya vizuri...
so its quietly different from hapo kwetu tz
 
Thread ya kipuuzi kabisa inafika page ya tano sasa Mods wamelala...
 
Back
Top Bottom