startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Na ndo maana mnatekwaView attachment 3103764
View attachment 3103765
Amiri jeshi mkuu wa chura republic, General Chura Kiziwi keshatoa amri ya shoot to kill.
Anataka kuvuna damu ya kafara vizuri.
Mko wapi tuje?Tukutane Barabarani
Imekaa kama kweli, ila mbowe saa mbili jana alithibitisha uwepo wa maandamano leo, isije ikawa amebadilisha gia tena!
Kunywa chai kwanza. Maandamano yanaanza saa tatu kamiliMko wapi tuje?
Mkuu,wewe uko barabarani tayari au unalalamika ukiwa wapi?Watanzania tunasikitisha sana,mpaka tuje kuamka usingizini sijui itakuwa miaka gani
Nilijua tunapewa chai za bure huko huko?Kunywa chai kwanza. Maandamano yanaanza saa tatu kamili
Barbara ipi, na je tunaaza kunywa Supu au wali maharage?Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji nyara, kupotea kwa watu na mauajo ya raia. Wananchi wamelinyooshea kidole jeshi la polisi kutokana na mazingira ya upoteaji wa watu. Watu wengi wameripotiwa kupotea baada ya kuitwa vituo vya polisi.
Tupeane updates za picha na matukio yanayojiri kwenye maandamanp haya ya haki.
Tukutane barabarani.