Na ww jaman unafanya joke kweliiπNipo ubena zomozi nakuja na bus la bukoba
We ni nguruwe nikuite mbwa ili iweje!Wakiandamana niite mbwa
Poiisi wetu kumbe wako makini kiasi hicho .Hawana muhali kabisa.Jamani maombi yenu, jamaa wamemchukua
Baadae utakuja na uzi wewe. Chadema wafanya fujo. Wazuia watu kufanya dhughuli zaoHakuna lolote
WANANCHI fanyeni kazi kuinua uchumi wenu πΌ
Jambazi tu hana lolote wakati nayeye anauchungulia
Wakiandamana ,napaa na ungo hadharani
Safi sana Polisi kwa kazi njema
Kwani ukisema tu Hakuna mtu ataandamani hilo neno litakoswa uzito mpaka uweke wachaga ebu jiepusheni na ukabilaHakuna mtu mwenye akili ataandamana kisa Wachaga.
Mzee Mgaya huku KUMEKUCHA...CHADEMA hawataniii Lissu JABALIHakuna lolote
WANANCHI fanyeni kazi kuinua uchumi wenu πΌ
Tapeli Mwamposa
alafu ukijikita ukapata uchumi mzuri wanakuja kukubeba wanakuua kimya kimya una acha ugali wako tenakama unaupenda ugali jikite kwenye shuhuli za kiuchumi