Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jamani maombi yenu, jamaa wamemchukua
Poiisi wetu kumbe wako makini kiasi hicho .Hawana muhali kabisa.
Wangemchukua juzi au kesho tungesema wamekiogopa Chadema.
Yawezekana alipokwabuliwa mikono Lipumba pia walikuwa sawa.
 
Makonda atamuangusha SAMIA, sijui kwa nini SAMIA hasikilizi ushauri wa DGIS anaopewa kila mara
 
Kwa hali ilivyo anayeweza kuandamana aandamane tu. Hapa hata tusio na vyama tunasapoti ni basi tu kwenda barabarani imekuwa tabu. Tangu December maji wametoa mara 4 labda mtaan kwangu. Sababu wanakomoa kisa wafuasi wa chadema wako wengi.
Hii nchi hii
 
Back
Top Bottom