Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Polisi hebu tumieni hekima kidogo ili kuimarisha taswira nzuri ya Mama Samia Suluhu Hassan kitaifa na kimataifa.

Msitumie nguvu kuzuia maandamano, bali imarisheni ulinzi ili maandamano yafanyike kwa amani.

Dunia nzima Leo macho yako Tanzania. Hii ndio nafasi pekee ambapo Polisi wetu wanaweza kuionyesha dunia kwamba Tanzania hakika ni kisiwa cha amani na utulivu.
Kwakua hawana akili hawawezi kuwaelewa. Naelekea Magomeni now, in case of anything......tutakua pamoja insha'Allah
 
Maandamano ya kuanzishwa na chama cha siasa ni ngumu sana kufanikiwa.
Wanasiasa mara nyingi hawaaminiki. Huwa hawawajibiki kwa wananchi isipokuwa hadi maslahi yao yaguswe.
Chadema walibug sana kukataa maandamano yaliyoratibiwa na kina Mwabukusi pamoja na Dr Slaa kuhusu mkataba wa kuuza bandari.
Walionesha ubinafsi wa kiwango cha rami.
 
Sasa atapiga picha kama hayuko eneo la tukio? Mama ameamua kuiga uhayawani wa Magufuli, haujui kuwa magufuli alikuwa shetani toka tumboni kwa mama yake. Ngoja tuone mwisho wake.
[emoji23][emoji23]Magufuli anaongoza malaika mbingini,siku mkiacha bangi mtaelewa umuhinu wa Magu.
 
ety mjini hali ipoje kunaingilika ua mmeogopa kuandamana embu tujuzeni naona kimya up now no new feedback no picha no news mnatukata stimu
 
Salaam

Hapa gomz mwisho wanapotengeneza stand ya mwendokasi.

Imepaki chuma moja mpyaa ( Mercedes-Benz) spesho kwa ajili ya kutawanya wanao sema wataandana leo.

Najua kila upande wana point zao na msingi kuandamana/kuzuia maandamano , Kwangu mimi naona ndugu zangu tufanye kazi tu kwa uwaminifu na kufuata sheria za nchi. Mapungufu yapo kwa serikali ila fikiria sana familia yako kabla hujaandamana.

Najua mtanitukana sana kwenye comment ila habari ndio hiyo.


Nawasilisha.
Mbwa wee
 
Back
Top Bottom