Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Huu uchaguzi umeshatekwa nyara na TISS
 
Mbona kila siku Singida ?

Hawaamini ndungu zake wa singida ? Anajua watamfyekelea mbali

Hapa vijana tuna la kujifunza, Usaliti ni laana kwa Taifa
Hizi tuhuma tushazizoea, tafuta tuhuma mpya,

Lissu anasema Uhuru Haki na Maendeleo ya watu, nyie mgombea wenu anatuahidi nin ili tulinganishe?
 
Kanyaga twende baba. Mungu akulinde na kukutangulia.
 
Kwani kuna wilaya hajaenda Tanzania hii?

Tahadhari
Kuna mtu moyo unakaribia kukata moto huko manyara hivyo hospital za celian ,KCMC na BMkapa ziwe stand by
Hakwenda Musoma vijijini yote, bunda vijijini,butiama, ni sehemu nyingi hajaenda.

Labda ndiyo ratiba iko hivyo.
 
Abarikiwe TL. Tujitokeze kwa wingi Jumatano 28 Okt 2020 tumpigie TL kura zetu.

Sijasikia TL akieleza watu jinsi ya watu kumpigia kura 28 Okt 2020. Hajaeleza wapi picha na jina lake vimewekwa kwenye karatasi ya kupiga kura.
Wote tunajua. Ni mtu wa mwisho. Ni mapumziko.
 
Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Hizi tuhuma tushazizoea, tafuta tuhuma mpya,

Lissu anasema Uhuru Haki na Maendeleo ya watu, nyie mgombea wenu anatuahidi nin ili tulinganishe?
 
Kama kawaida yenu haitusaidii wengine. Mnatuwekea picha za mafuriko tu badala ya kutuwekea hotuba za urefu wake. Hatutaki kuona mafuriko tu manake hayo tunayaona hata kwa Wagombea wengine. Tunataka hotuba anazohutubia kwenye mikutano hiyo. You Look so emotional guys! Be of logic please!
 
Haiwezekani kwenda majimbo yote ya Tanzania. Aliyeweka miezi 2 ya kampeni ameweka muda huo kwa manufaa ya CCM. CCM imehodhi vyombo vya habari. Hawa wengine haruhusiwi kutangazwa. Huu siyo mfumo wa uchaguzi. Ni mfumo wa kuhalalisha udhalimu wa CCM tu. Hakuna kingine. Uchaguzi huu, mawakala hawaruhusiwi kutoka na nakala ya matokeo ya uchaguzi! Jiulize, wakitoka na matokeo itamuumiza nani?
Hakwenda Musoma vijijini yote, bunda vijijini,butiama, ni sehemu nyingi hajaenda.

Labda ndiyo ratiba iko hivyo.
 
Hawataki watoke na ushahidi, maana mawakala watapewa matokeo fake na yatatangazwa mengine, nakala hawana unabisha vipi?!
 
Mwanahabari Huru , Salary Slip Erythrocyte take note of these serious maneuvers! Tumekwisha...
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
hakikisha mnampigia kura Lissu,, elfu saba chukua ila kura zote kwa Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…