Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .
Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .
" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "
View attachment 1611262
========