Ndio Mkuu, naona kaanza kuhamasisha watu kuvuruga amani ya nchi kisa kuenguliwa kwa Wagombea.
TBC wamekata baada ya kuona Mbowe kaanza kuongelea suala la kuligawa Taifa.
Ngoja picha watazoanza post baadae baada ya photshopMwaka 2015 walikuwa wanatuambia mafuriko. Leo naona BAVICHA computer ya photoshop imekwama.
nipo uwanjani Wananchi wamepitisha hoja WAFUKUZWEWatanzania hawatawaacha salama Chadema kwenye sanduku la kura. Watanzania hatupendi kudharauliwa. TBC ni ya watanzania.
Chadema imepoteza mvuto kubali dogo. Hasira na jazba haziwasaidii.Usiseme watanzania, sema watanzania wenye mitazamo ya kiccm. Labda useme hao waliokuwa kwenye huo mkutano ni wakenya.
Mkuu sera za chadema zimezindukiwa leo?Kama ni rahisi kuwa na id zaidi ya moja, hebu ongeza id nyingine, kisha changia nazo zote, halafu ulete mrejesho.
Ni ya watanzania wapi kwa mfanoWatanzania hawatawaacha salama Chadema kwenye sanduku la kura. Watanzania hatupendi kudharauliwa. TBC ni ya watanzania.
Ngoja picha watazoanza post baadae baada ya photshop
hiii Safi sanaaa dah jamaa ANAAKILI SANAAmeahidi hakuna kujitoa kwenye uchaguzi,haki itadaiwa kwa kila njia. Amejitolea kutafuta haki kwa wote kama Watanzania walivyojitolea kutetea uhai wake. Kuwa kwake hai,Mungu ana makusudi naye....
Kwa mara ya Kwanza naomba niongee lugha chafu na viongozi wa Chadema ni marofa na ni wapumbavu kabisa na wanachotaka watakipata na Tanzania itabaki salama saliminiSalaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam....
[emoji23][emoji23][emoji23]subir badaeView attachment 1550815
Kuna hii hapa
UsitudanganyeDhaaaaaa!!!!!! Mgeni kaishiwaView attachment 1550805View attachment 1550807
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile ya juu ndio kiboko! Yani Lisu haamini kilichotokeaDhaaaaaa!!!!!! Mgeni kaishiwaView attachment 1550805View attachment 1550807
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi kweli chadema hii ndio ya kukusanya hawa watu tena kwenye uzinduzi?
Hapo ni asubuhi saa 3 angalia vivuli vya watu wewe Jiografia ulipata zeroView attachment 1550815
Kuna hii hapa
Sasa hapo ni kanisaniKwani huko kanisani wanapomuongelea shetani, ni kwanini wasimuongelee Yesu tu? Kama atapaishwa kwa kuongelewa si ndio vizuri?