Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Mchango wa kuchangia harakati za kudai haki,yeye mwenyewe Lissu ataongoza harakati hizo
 
Ameitaka jumuiya ya kimataifa waiwekee serikali vikwazo,mabalozi wetu warudishwe nyumbani/wawatimue. Serikali yetu isiwe na rafiki hata wa kumwomba maji ya kunywa ili watende haki
Hizi ni ndoto za mchana
 
Ameitaka jumuiya ya kimataifa waiwekee serikali vikwazo,mabalozi wetu warudishwe nyumbani/wawatimue. Serikali yetu isiwe na rafiki hata wa kumwomba maji ya kunywa ili watende haki
Kama haya ni kweli kayasema basi 'networks zake hazisomi sawasawa'! Arejeshwe kwenye matibabu! Chadema, Poleni! Mmefunzwa na ulimwengu kwa hatua hii mliyofikia.
 
Ameahidi hakuna kujitoa kwenye uchaguzi,haki itadaiwa kwa kila njia. Amejitolea kutafuta haki kwa wote kama Watanzania walivyojitolea kutetea uhai wake. Kuwa kwake hai,Mungu ana makusudi naye....
 
Tunataka sera yenu tukiwaingiza ikulu mtafanya nini
Naona malalamiko tu
Tumia akili leo ni siku ya kudai wagombea wetu waliokatwa wapewe haki yao

Utaendaje kwenye uchaguzi wakati wagombea wamekatwa kizembe?
 
Kuna kitu kina kosekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1550801
IMG_20200828_175427.jpg
 
Salaam Mkuu,

leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam...
Mbona hawasemi watafanya nini? Hayo no matumizi mabaya ya muda
 
Ndo watambue kuwa wao Wana wafuasi wengi na ni watu wazima lakini hawana sifa za kupiga kura, pia Wana wafuasi ambao mtu mmoja anakuwa na ID hata elfu 10 ndo watoa maoni kwenye mitandao, siku ya kupiga kura inatumika id moja

Kama ni rahisi kuwa na id zaidi ya moja, hebu ongeza id nyingine, kisha changia nazo zote, halafu ulete mrejesho.
 
Back
Top Bottom