Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na izo camera angle za TBC mimi niko live kwa Online Channel za youtube hemu angalia hata hio podium na background ya aliposimama Tundu Lissu mpangilio wenyewe high table uko ovyoUhovyo wake ni nini
Au unadanganyika na camera angle za tbc
Kuna nyomi la maana tu
Muwe mnafikiria kwa kutumia akili na sio masaburiNdo kusema sera ya kwanza ya CHADEMA ni kufanya vurugu, kwani hao waliokatwa wamekatwa na wananchi?, Kama hapana, basi hizo vurugu zifanywe na hao viongozi wa chadema dhidi ya wakataji, maana kuwahusisha wanaanchi ni kuwaonea tu,
Anayekwambia usikombe mboga anataka ushibe. Hamna tv, redio Wala gazeti. Hivyo watu wanajitolea kwa kuingia mfukoni kidogo, hivyo unapoanza kusema na yale ya mkwe wako badala ya kutuambia kwanini tukuchagua wewe sio sawa.Mkuu kama huna bundle ya kutosha imekula kwako lakini hilo ombi lako halikubaliki.
Nyomi liko wapi? Weka picha hapa ya nyomiUhovyo wake ni nini
Au unadanganyika na camera angle za tbc
Kuna nyomi la maana tu
Mkutano umedoda kweli kweli, "Body Language" za Viongozi ni dhoofu, nyuso zao zimejawa na hasira na wanoekana kukata tamaa.Salaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam...
Ndo watambue kuwa wao Wana wafuasi wengi na ni watu wazima lakini hawana sifa za kupiga kura, pia Wana wafuasi ambao mtu mmoja anakuwa na ID hata elfu 10 ndo watoa maoni kwenye mitandao, siku ya kupiga kura inatumika id mojaTunataka tuone watu. Hahahaha hakuna watu hapo anaongea pekee take.
Amekosea watapata sababu wangewashitaki tcraTBC wamefukuzwa na Mbowe!
Acha kupotosha, Mbowe amewapa TBC dakika 15 kuondoka hapo kwenye mkutano wao, Chadema wamechoka kufanywa wapumbavu.TBC wamekata matangazo baada ya Mbowe kutangaza kuwa watakinukisha kuwa hawata nadi sera yoyote badala yake wanachi wawe tayari kupigania haki
Tofautisha harakati za ukombozi na performance shows za bongo flavorPR nzima iko weak and cheap
Jukwaa lenyewe lipo kama kichanja cha vyombo vya kilabuni
Hatupo harusi hapa kuangalia ukumbi umependezajeAchana na izo camera angle za TBC mimi niko live kwa Online Channel za youtube hemu angalia hata hio podium na background ya aliposimama Tundu Lissu mpangilio wenyewe high table uko ovyo
Mbowe ana hasira baada ya watu kumpuuza na kutokwenda mkutanoniMbowe hata hajisitukii Kama wananchi wameshindwa tu jujitokeza kwa wingi kusikiliza ilani ya Chama wataweza kweli kujitokeza kujaribu kumwaga damu zao?
😂😂😂😂😂😂Mkuu mbona unaishi godown?
Hapana mkuu, ni kweli jukwaa lipo bei rahisi halina vibe kabisaTofautisha harakati za ukombozi na performance shows za bongo flavor
Anayekwambia usikombe mboga anataka ushibe. Hamna tv, redio Wala gazeti. Hivyo watu wanajitolea kwa kuingia mfukoni kidogo, hivyo unapoanza kusema na yale ya mkwe wako badala ya kutuambia kwanini tukuchagua wewe sio sawa.