Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

PR nzima iko weak and cheap
Jukwaa lenyewe lipo kama kichanja cha vyombo vya kilabuni
 
Uhovyo wake ni nini
Au unadanganyika na camera angle za tbc
Kuna nyomi la maana tu
Achana na izo camera angle za TBC mimi niko live kwa Online Channel za youtube hemu angalia hata hio podium na background ya aliposimama Tundu Lissu mpangilio wenyewe high table uko ovyo
 
Ndo kusema sera ya kwanza ya CHADEMA ni kufanya vurugu, kwani hao waliokatwa wamekatwa na wananchi?, Kama hapana, basi hizo vurugu zifanywe na hao viongozi wa chadema dhidi ya wakataji, maana kuwahusisha wanaanchi ni kuwaonea tu,
Muwe mnafikiria kwa kutumia akili na sio masaburi
 
Mkuu kama huna bundle ya kutosha imekula kwako lakini hilo ombi lako halikubaliki.
Anayekwambia usikombe mboga anataka ushibe. Hamna tv, redio Wala gazeti. Hivyo watu wanajitolea kwa kuingia mfukoni kidogo, hivyo unapoanza kusema na yale ya mkwe wako badala ya kutuambia kwanini tukuchagua wewe sio sawa.
 
Ngonjera hapana, umekuja na sera zipi. Maana Tanzania nzima inajua kwamba ulipigwa risasi punguza maneno msasa.
 
Salaam Mkuu,

leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam...
Mkutano umedoda kweli kweli, "Body Language" za Viongozi ni dhoofu, nyuso zao zimejawa na hasira na wanoekana kukata tamaa.

Frustrations za kudoda kwa mkutano zimehamishiwa kwa TBC wamefukuzwa uwanjani.[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tunataka tuone watu. Hahahaha hakuna watu hapo anaongea pekee take.
Ndo watambue kuwa wao Wana wafuasi wengi na ni watu wazima lakini hawana sifa za kupiga kura, pia Wana wafuasi ambao mtu mmoja anakuwa na ID hata elfu 10 ndo watoa maoni kwenye mitandao, siku ya kupiga kura inatumika id moja
 
TBC wamekata matangazo baada ya Mbowe kutangaza kuwa watakinukisha kuwa hawata nadi sera yoyote badala yake wanachi wawe tayari kupigania haki
Acha kupotosha, Mbowe amewapa TBC dakika 15 kuondoka hapo kwenye mkutano wao, Chadema wamechoka kufanywa wapumbavu.
 
Duh chadema mnachangamoto maana wanachadema wenzenu, tume ya uchaguzi, polisi, tbc wote wanawahujumu nyinyi tu.
 
Mnaangalizia wap wakuu maana tbccm wameamua kuchezea kodi zetu upande wa pili tu
 
Mbowe hata hajisitukii Kama wananchi wameshindwa tu jujitokeza kwa wingi kusikiliza ilani ya Chama wataweza kweli kujitokeza kujaribu kumwaga damu zao?
Mbowe ana hasira baada ya watu kumpuuza na kutokwenda mkutanoni
 
Kampeni haitaki kuharakishwa eti wenye bundles chache waweze kuona kila kitu. Ongeza ili uwe na bundle ya kutosha au itakula kwako.

Anayekwambia usikombe mboga anataka ushibe. Hamna tv, redio Wala gazeti. Hivyo watu wanajitolea kwa kuingia mfukoni kidogo, hivyo unapoanza kusema na yale ya mkwe wako badala ya kutuambia kwanini tukuchagua wewe sio sawa.
 
Back
Top Bottom