Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mwaka 2015 walikuwa wanatuambia mafuriko. Leo naona BAVICHA computer ya photoshop imekwama.Acha roho mbaya mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2015 walikuwa wanatuambia mafuriko. Leo naona BAVICHA computer ya photoshop imekwama.Acha roho mbaya mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania hawatawaacha salama Chadema kwenye sanduku la kura. Watanzania hatupendi kudharauliwa. TBC ni ya watanzania.Tibisi walitegwa wakategeka ..aibu ile kufufurushwa mbele ya halaiki
Kwani mpaka mumuongelee Magu, si muongee ilani ya chama.... Mkimwongea Magu mnampaisha sana
Hizi ni ndoto za mchanaAmeitaka jumuiya ya kimataifa waiwekee serikali vikwazo,mabalozi wetu warudishwe nyumbani/wawatimue. Serikali yetu isiwe na rafiki hata wa kumwomba maji ya kunywa ili watende haki
Kama haya ni kweli kayasema basi 'networks zake hazisomi sawasawa'! Arejeshwe kwenye matibabu! Chadema, Poleni! Mmefunzwa na ulimwengu kwa hatua hii mliyofikia.Ameitaka jumuiya ya kimataifa waiwekee serikali vikwazo,mabalozi wetu warudishwe nyumbani/wawatimue. Serikali yetu isiwe na rafiki hata wa kumwomba maji ya kunywa ili watende haki
Tumia akili leo ni siku ya kudai wagombea wetu waliokatwa wapewe haki yaoTunataka sera yenu tukiwaingiza ikulu mtafanya nini
Naona malalamiko tu
mkuu Hawa watu hawajielewi.
wanachojua Ni kuhamasisha chuki tu
Mbona hawasemi watafanya nini? Hayo no matumizi mabaya ya mudaSalaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam...
Ndio Lisu huyu?
Ndo watambue kuwa wao Wana wafuasi wengi na ni watu wazima lakini hawana sifa za kupiga kura, pia Wana wafuasi ambao mtu mmoja anakuwa na ID hata elfu 10 ndo watoa maoni kwenye mitandao, siku ya kupiga kura inatumika id moja