ππ Mkuu mbona nyaya nyingi hivyo kushinda vitumiwa..πNiko mubashara.....View attachment 1550722
Maturubai ya elfu 25Ile ilikua nguvu ya pesa baba sasa hawa sijui kama wamejiandaa kwa pesa
Safaribhii wana kazi, aliyemdanganya atoke ubelgiji kuja kupima upepo na magufuli ndo atajutaπ€£ π€£π€£ unajitahidi sana ku prove.
Kuna aina tatu za picha;-
Horizontal, Oblique na Vertical.
Hiyo uliyopiga na Horizontal.
Sasa jaribu kupiga hizo mbili. Watu hawajai hata kwenye sahani.
hizi mbona za 2015?acha uongo embu tuma picture km hii hiz
jamani mbona hakuna mobu ya kutosha kama uhalisia wa mktano?? Afu hawa tbc kama wanafanya hujuma flani ivii.. any waySalaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam....
Mimi pia nimehamia Mwanahalisi TV. Angalia mwanahalisi TV.TBC si wanasema inazingua? Nataka link ya CDM kabisa, huenda Kuna amsha amsha huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] CHADEMA inakufa rasmi mwaka huuSafaribhii wana kazi, aliyemdanganya atoke ubelgiji kuja kupima upepo na magufuli ndo atajuta
Hao lafiki zake wa ulaya ana kazi ya kuwajibu alivyokuwa anawadanganya.
Pamoja na kuchagua viwanja vidogo bado ni aibu aisee.
wewe furahia tu kwamba hakuna nyomi...We we panda juu ya mti utuletee hizo picha. π€£ π€£ π€£ π€£
Pwahahaha nenda kalale sasa. Mkutano hauna watu.Hatushindani na mabwege wabishi
Sasa si uwafuate kwenye website zao ndo wakawambie huo ujinga wao..Tbc wajinga Sana, wakisikia wameanza kutema checked wanakatisha.
Acheni ujinga
Inaonekana hawajajiandaa, what will be plan B. Ni kama nimesikia Katibu Mkuu akisema waweke kando Sera na Ilani ya chama ili wafanye kitu kingine.Salaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam...
Umeona kumbe unamsikiliza vizuri Mbowe hapo?Mpaka muda huu bado nasikia Mambo ya kulialia tu.
Sijui CDM wanakwama Wapi.