Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

🤣 🤣🤣 unajitahidi sana ku prove.
Kuna aina tatu za picha;-
Horizontal, Oblique na Vertical.
Hiyo uliyopiga na Horizontal.
Sasa jaribu kupiga hizo mbili. Watu hawajai hata kwenye sahani.
Safaribhii wana kazi, aliyemdanganya atoke ubelgiji kuja kupima upepo na magufuli ndo atajuta
Hao lafiki zake wa ulaya ana kazi ya kuwajibu alivyokuwa anawadanganya.
 
Mbona chadema mnalalama sana.TBC imeamua kuwapa msaada kurusha uzinduzi wenu wa kampeni buree,mbona tena mnaleta utemi na masharti meengi!!!.
 
Yaani wanahutubia wao tbc badala ya cdm. Wakiona tu watu wana nangwa basi wanaanza. Wakiendelea hivi ni wa kuachana nao. Fikiria wanazungumza kwa zaidi ya dakika 15 wakati hotuba zinaendelea.
 
Salaam Mkuu,

leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam....
jamani mbona hakuna mobu ya kutosha kama uhalisia wa mktano?? Afu hawa tbc kama wanafanya hujuma flani ivii.. any way
 
Safaribhii wana kazi, aliyemdanganya atoke ubelgiji kuja kupima upepo na magufuli ndo atajuta
Hao lafiki zake wa ulaya ana kazi ya kuwajibu alivyokuwa anawadanganya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] CHADEMA inakufa rasmi mwaka huu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sijategemea kabisa Siku ya kuzindua kapeni mmeifanya kishamba kiasi hiki. Watu wengi hawana habari, siku mliochagua ni siku ya Kazi, matangazo yenu yamekuja kwa kushtukiza.

Naona mnajifelisha wenyewe.

Mlikuwa mnakimnbilia wapi? Kwani ilikuwa lazima leo?

Nipo Mbagala hapa, watu hakuna.

hamnishawishi hata kwenda kupiga Kura.
 
Mnyika bana aisee "Magufuli na vibaraka wake" TBC ninahakika hawata rusha tena mikutano ya CHADEMA.
 
Salaam Mkuu,

leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam...
Inaonekana hawajajiandaa, what will be plan B. Ni kama nimesikia Katibu Mkuu akisema waweke kando Sera na Ilani ya chama ili wafanye kitu kingine.
 
Back
Top Bottom