Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Wamemkatia Mbowe Tena!

Agrirrrrrrrrr
Siangaliii Tena tbc

Wakuu Hakuna link inayorusha live Kama you tube nk?

Chadema wanafeli Sana !!
 
Tbc wanafel, ila CHADEMA wanafel zaidi.

Eti waweke kando swala la ilani, so what?
 
TBC wamekata matangazo baada ya Mbowe kutangaza kuwa watakinukisha kuwa hawata nadi sera yoyote badala yake wanachi wawe tayari kupigania haki
 
Umeona kumbe unamsikiliza vizuri Mbowe hapo?
Ndio Mkuu, naona kaanza kuhamasisha watu kuvuruga amani ya nchi kisa kuenguliwa kwa Wagombea.

TBC wamekata baada ya kuona Mbowe kaanza kuongelea suala la kuligawa Taifa.
 
Duuuh kweli hakuna nyomi aisee naona Hapo vijana Hadi wanapata Nafasi ya kuchati kwa smartphone bila hata shida kabisaa.

Nafikiri hapa CDM tutajifunza kitu kutoka kwa Watanzania.

Mi CCM mnahangaika hadi mnatia huruma.

Buku 7 ziko hatarini komaeni.
 
Huezi amini Mbowe ameanza tu wamemkata kisa anaongelea yaliyotokea miaka 5 chini ya magu. Kwa sisi nje ya dsm ndiyo basi. Nasikitika kusema huu ni ushenzi wa hali ya juu. Tunataka kuwasikiliza cdm na si tbc. Kams hawawezi wafunge mitambo yao tujue moja na si upuuzi huo.
 
Wakuu makamanda,

Youtube channel ya BAVICHA TAIFA wako live, full hotuba bila mizengwe ya kuedit
 
TBC hawana credibility ya kurusha matangazo ya CDM, it is like maji kukoleza moto
 
Tbc wanafel, ila CHADEMA wanafel zaidi.
Eti waweke kando swala la ilani, so what???
Hapana mkuu TBC hawafel hata kidogo chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kurusha matamko ya Chuki na vurugu namna hiyo hata siku moja, CHADEMA hawana stahe hizi sio siasa bali chuki tu na kuhamasisha vurugu tupu.
 
sasa hapa tunasikiliza watangazaji wa tbc au sera za chadema. bora hata wasingenyesha hawa tbc
 
TBC wamekata matangazo baada ya Mbowe kutangaza kuwa watakinukisha kuwa hawata nadi sera yoyote badala yake wanachi wawe tayari kupigania haki
Mbowe hata hajisitukii Kama wananchi wameshindwa tu jujitokeza kwa wingi kusikiliza ilani ya Chama wataweza kweli kujitokeza kujaribu kumwaga damu zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…