Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Atume na hizo picha ulayaHakuna watu kabisa Mkutano watu wametoweka utafikiri wameambiwa baada ya mkutano watachinjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atume na hizo picha ulayaHakuna watu kabisa Mkutano watu wametoweka utafikiri wameambiwa baada ya mkutano watachinjwa
Kweli nimeelewa mkuu.Hizo ndio sera za chadema mkuu.
Slaa na Lowasa wakiona huu ikiwa uliotawala hapa wanaweza kulia
acha uongo embu tuma picture km hii hizwatu ni wengi ila TBC wanachakachua. wanatakiwa wachukue aerial view ndiyo itaonyesha uhalisia!
We we panda juu ya mti utuletee hizo picha. 🤣 🤣 🤣 🤣watu ni wengi ila TBC wanachakachua. wanatakiwa wachukue aerial view ndiyo itaonyesha uhalisia!
Hatushindani na mabwege wabishi🤣 🤣🤣 unajitahidi sana ku prove.
Kuna aina tatu za picha;-
Horizontal, Oblique na Vertical.
Hiyo uliyopiga na Horizontal.
Sasa jaribu kupiga hizo mbili. Watu hawajai hata kwenye sahani.
Watu ni wachache sana. Mgombea udiwani wa mbagala anazindua kampeni?
Karibu sana mkuu kwenye ufuatiliajiJukwaa la ovyo sijawahi kuona.
Wamefunika maturubai ya elfu 25 kwa mchango wa hela za kokoa za akina Erythrocyte kule kyela
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Aise mkutano umepowa km maji yaliyoko kwenye mtungi. yaan yale ya hamna lowassa hamna kabisa. ila hakuna atakayekuja kufikia Lowassa