Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wacha wee. Kawachapa na kiwembe kabisa
 
Mtu mwenye ushahidi wa uhakika. Mashahidi watatu tu wanamaliza kesi. Hawe wenzangu wanamashahidi 21 wa nini? wanependa namba sana hawa.
 
Kaongeze wewe huo ushahidi maana walienda wote wamesema sijui na sifahamu
 
Hapa ndio alipo chemka Inspector DCI...
Kibatala: Kwanini tusiseme wewe ni miongoni mwa kikundi ndani ya Jeshi la polisi ambacho kilihusika na kupanga njama za Kumpa Freeman Mbowe Kesi ya Ugaidi Ndiyo Maana mlifanya uchunguzi kipindi fulani hadi fulani?
 
Shahidi wa mchongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hajui kirefu DCI mpaka akawaulize wakubwa zake ?
 
Hatuwezi kupeleka watu kwenye jeshi la polis waliopata Division 1

ila tuwapeleka waliopata division 4 maana kazi yao kukubwa ni kukamata na kuzuia uhalifu-Simbachawene 2021
... na kulinda makazi ya viongozi! Ha ha ha!
 
... katika ujinga wote ulioletwa mahakamani kama ushahidi; hiyo sentensi moja hiyo imebeba shauri kwa uzito mkubwa sana! Lilikuwa swali na jibu muhimu mno!
 
Ukisikiliza hoja zinazoletwa na upande wa mashtaka,ni dhahiri wao ndio waliopanga mipango ya kigaidi dhidi ya washtakiwa ili kufanikisha lengo la kuifuta CDM kwa kumbambikia Mh. Mbowe kesi hii.
Aibu hii ya ugaidi wa kuchongwa na Sirro na kina Kingai tutailipia Watanzania wote.
Wapenda HAKI wote wanafahamu kiini cha hizi tuhuma na nia ovu ya watawala haitajificha chini ya jua.
Justice must prevail very soon.
 
Kesheni mkisali labda Mungu atawasikia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..asante sana.

..nimeelewa kwamba " komito " ina maana upo ushahidi wa kutosha dhidi ya watuhumiwa.

..Kwa mfano, kesi ikiisha LEO would you convict Mbowe na wenzake?

..Na kwa mashtaka yote, au baadhi?

Cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Fundi Mchundo
YES
Shitaka ni kunuia kutenda matendo ya kigaidi kinyume cha sherai ya ugaidi ya 2002
1. Kakusanya watu- rejea Kingai, Kaaya, tigo, airtel, forensic
2. Mwenzake kuwa na bastola isiyosajiriwa-rejea Kigai, msajiri wa bunduki, mtaalam wa milipuko
3. kafadhili- rejea rejea Kingai, Kaaya, tigo, airtel, forensic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…