Sasa shahidi mtaalamu wa Celebrite kawaangusha sana Leo,kasema hakuona jinai yoyote na kama angeona,yeye kama afisa wa jeshi la Polisi angetoa taarifa!
Huyu shahidi kawapiga na kitu kizito mawakili wa serikali na wakereketwa kama wewe,ulimtegemea sana kwamba Sasa hatimaye concrete evidence zinashushwa Leo!Ila imekuwa kinyume chake!
Hii kesi ni aibu Kwa serikali,nilitaka nishangae,yaani nchi kama USA ambao ndio wahanga wakubwa wa ugaidi na ndio walioanzisha Sheria ya ugaidi,iweje wawe pamoja na Mbowe wakati ana kesi ya ugaidi?
Ndio ujue wamepona hii kesi ni upumbavu tu wa siasa majitaka za watu weusi!!