Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Punguani mkubwa ww. Sasa hapo umeona kuna mambo ya ugaidi.
 
Zinaonyesha Ugaidi?
 
Kwa hiyo mkuu shahidi asipojua kirefu cha DCI Mbowe anakuwa hana kesi ya kujibu tena?
 
... kilichonishangaza zaidi ni wakili wa serikali kuwa na mashaka juu ya uwezo wa shahidi (guru la IT Polisi) kushindwa kujibu "misamati migumu" ya IT anayoulizwa na (ngwini) Kibatala! Ajabu sana! Hii timu ya Kibatala wanaonekana kuwa multi-sectoral; multi-purpose; multi-processing hawa jamaa! Nyanja zote wanajua - sheria wao, IT wao, uchumi wao, security wao, telecom wao (Airtel, Tigo), duh! Brains zao zina GB nying mno!
 
Brain GB nyingi ila waulize wameshinda kesi ngapi? Wakili hasifiwi kwa maswali ya kijinga bali kesi ngapi kashinda
 
Kamanda wa Polisi hajui kirefu cha DCI mpaka akumbushwe na bosi wake! Hajui vyeo vya jeshi la polisi! Ndiyo maana muda wote anakwenda chooni kujikumbusha kwenye kikaratasi alichowekewa, jana alidai hajui PGO! Shahidi anajibu maswali wakili wake anadai maswali hayo ni ya kitaalamu sana hawezi kuyajibu! Mwenyewe anasema anaweza kuyajibu. Wakili wake anasema shahidi ni mstaafu hawezi kuja anamuuguza baba yake, shahidi anasema siyo mstaafu na hamuuguzi baba yake! Sina jina zuri la kukiita kikundi hiki.
 
Naona kwa Mallya tu anaruka viunzi, bado hajakutana na Kibatala, huyu jamaa hii match ya leo kazi anayo [emoji23]

Make Your Investigations Smarter, Faster and More Efficient​

Cellebrite's end-to-end Digital Intelligence Investigative Platform and Services are trusted by over 6,700 federal, state and local public safety agencies and enterprises in over 140 countries and is used in millions of cases each year.

Mbowe kapambana na serikali iliyojiandaa kiteknolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…