Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jaji mwenyewe ana maelekezo ya kumfunga MboweMh. Jaji kwa mamlaka uliyonayo maliza hii kesi - hamna kesi humu ni kupotezeana muda na kulighalimu taifa.
Matata: Freeman Mbowe akikataa leo hakusema, ni ushahidi gani unao mbele ya Mahakama Kwamba Mbowe alisema hayo maneno uliyosema?
Shahidi: Ni ushahidi wa meseji ya kusema "muda umeisha"
Matata: hiyo meseji inayosema muda umeisha ina sehemu inasema kulipua masoko
Shahidi: Hakuna mahali inasema
Matata: hiyo Meseji ina sehemu inasema kushambulia viongozi ambao hawapendi upinzani?
Shahidi: Hakuna mahali inasema hivyo
Matata: Hiyo meseji kuna sehemu inasema kulipua vituo vya mafuta
Shahidi: hakuna mahali inasema hivyo