Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Mh. Jaji kwa mamlaka uliyonayo maliza hii kesi - hamna kesi humu ni kupotezeana muda na kulighalimu taifa.

Matata: Freeman Mbowe akikataa leo hakusema, ni ushahidi gani unao mbele ya Mahakama Kwamba Mbowe alisema hayo maneno uliyosema?

Shahidi: Ni ushahidi wa meseji ya kusema "muda umeisha"

Matata: hiyo meseji inayosema muda umeisha ina sehemu inasema kulipua masoko

Shahidi: Hakuna mahali inasema

Matata: hiyo Meseji ina sehemu inasema kushambulia viongozi ambao hawapendi upinzani?

Shahidi: Hakuna mahali inasema hivyo

Matata: Hiyo meseji kuna sehemu inasema kulipua vituo vya mafuta

Shahidi: hakuna mahali inasema hivyo
Jaji mwenyewe ana maelekezo ya kumfunga Mbowe
 
DAAAH BONGO SIHAMI AISEEE YANI HII NI AIBU YA TAIFA INABIDI BENDERA ISHUSHWE ROBO TATU MLIGOTI
Inabidi inyofolewe kabisa kwenye mlingoti itandikwe chini,watu wasikitike maana nchi imedhalilishwa mno kwakweli
 
tumeseji kama hutu pekee hatuamui kesi huku nje nyie, ushahidi ni chain, unaweza kuunganisha hako hako ka "muda umeisha"na ushahidi mwingine ukafikia conclusion. hamjui mambo ya mahakama.

Huyu shahidi ndio informer mwenyewe, Kama ameshindwa kudhibitisha Nani atadhibitisha?. Wewe unadai Mbowe alikuambia atafanya vurugu halafu hapohapo ushahidi ulionao ni wa maneno na hakuna collaborative evidence.

Mimi nadhani labda Moses lijenje ndio ataletwa kutoa ushahidi kwenye kesi hii.
 
shahidi ana kesi ya kujibu? wakati hata kushitakiwa hajashitakiwa? na wanaoweza kuamua ashitakiwe au la ni wale waliomwita kama shahidi, na hapohapo unaamini una akili? mnafikiri kwa kutumia kamasi aisee.

Shahidi huyu Ni Kama kaaya wote walikuwa wamekamatwa na kuwa watuhumiwa kwenye kesi hii, lakini wakaachiwa kwa makubaliano ya kwamba wawe mashahidi.
 
Huyu shahidi ndio informer mwenyewe, Kama ameshindwa kudhibitisha Nani atadhibitisha?. Wewe unadai Mbowe alikuambia atafanya vurugu halafu hapohapo ushahidi ulionao ni wa maneno na hakuna collaborative evidence.

Mimi nadhani labda Moses lijenje ndio ataletwa kutoa ushahidi kwenye kesi hii.
yaani kwa sisi wapenda movi kule vibanda umiza ni kwamba stelingi kauawa.
 
Huyu shahidi ndio informer mwenyewe, Kama ameshindwa kudhibitisha Nani atadhibitisha?. Wewe unadai Mbowe alikuambia atafanya vurugu halafu hapohapo ushahidi ulionao ni wa maneno na hakuna collaborative evidence.

Mimi nadhani labda Moses lijenje ndio ataletwa kutoa ushahidi kwenye kesi hii.
informer si ndio anaweka msingi tu mzee, hadhitibishi, wengine ndio wanakuja kuweka matofali na zege la renta, wengine wanamalizia na kuezeka, wengine kupita lipu, n.k. mbona unakuwa kama huelewi ndugu yangu.
 
Bado athari ipo pale pale,kalichafua jeshi letu kwa kuwatesa makomandoo wazalendo na kuwaweka hatarini vijana aliowafunza kwa tamaa zake za cheo na kutoa ushahidi wa mchongo mahakamani bila aibu.
Tusisite kuwabainisha wadhalimu na watesi wengine wote wa wananchi wenzetu bila kujali walipo.
wale watatu walikuwa kazini
 
informer si ndio anaweka msingi tu mzee, hadhitibishi, wengine ndio wanakuja kuweka matofali na zege la renta, wengine wanamalizia na kuezeka, wengine kupita lipu, n.k. mbona unakuwa kama huelewi ndugu yangu.
Hawaelewi kwa nini Urio ni shahidi
 
Shahidi huyu Ni Kama kaaya wote walikuwa wamekamatwa na kuwa watuhumiwa kwenye kesi hii, lakini wakaachiwa kwa makubaliano ya kwamba wawe mashahidi.
mzee, informer pia huwa anakamatwa na huwa anapigwa hadi vibao ili muendelee kuamini kwamba mpo pamoja naye, na kule lock up muendelee kutapika uchafu mbele yake wa namna gani mnataka kujitetea, na mwisho yeye anachomolewa anakuwa shahidi. ndivyo ilivyo. mwulizeni mwenyekiti wenu kwanini soon after uchaguzi alikimbia nchi, pamoja na kwamba hapakuwa na threat yeyote. na kwanini tundu lisu alikuwa na amani na kutukana kote kule wakati wa kampeni hakufanya kosa, lakini alipoona hao vijana wamekamatwa tu mbio ubalozi wa ujerumani, kwanini alikuwa haishi ubalozi wa ujerumani wakati wa kampeni?...cdm mnafikiri kwa kutumia nini aisee,ni nani aliyewaloga?
 
Shahidi angepewa maji kwanza, Kibatala kaingia
Comedian Mh. Kibatala kaingia- mabu zangu wewee- hana kitu zaidi ya
  1. vichekesho
  2. kudharirisha mashahidi
  3. kudharirisha serikali
ila mwisho wa siku mteja anaenda jela
 
Shahidi wa Jamhuri Luteni Urio ana simu ambayo haiwaki tangu Jana na amedai haidisplay. Ilikuwaje wakashindwa kutengeneza. Maana inaonekana upande wa utetezi wanahitaji zaidi simu hiyo, inaonekana kuna ushahidi mkubwa unafichwa kwenye simu hiyo.
 
Back
Top Bottom