Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022
Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022 ,kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa , ya miamala umeyasikia , sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani .

Peter Kibatala na timu yake wapo tayari .

Watu waepuke kuwa mashahidi wa uwongo.Mungu atawaadhibu
 
Noma sana ! wakuu usije ukathubutu kushiriki mchongo
 
Wakili Peter Kibatala na Mtobesya have to coach their fellow counsel especially John Mallya,Matata on how to cross examine.

I do really appreciate Mr. Kibatala kwa sababu ni fundi sana katika mahojiano kinzani (Cross examination). Hakika bila yeye kusingekuwa na huu udambuudambu.
 
Kibatala: Mwambie Mheshimiwa Jaji Kuwa Barua Iliomba Taarifa namba Ngapi

Shahidi: Namba 3

Kibatala: Na wewe Ukapeleka Majibu ya Taarifa za namba ngapi

Shahidi: Namba 2

Kibatala: Zina oana au zipo tofauti

Shahidi: Zipo tofauti
 
Nilichogundua hapa ni kwamba waajiri wengi wanapenda incompetent persons. Hii ni kwa sababu competent & smart persons hawapendi kuajiriwa.
"Nilichogundua hapa ni kwamba waajiri wengi wanapenda incompetent persons."

Hicho ulichoandikwa Ni Cha kupiga screenshot kabisa.Uko sawa kwa 💯%
 
Back
Top Bottom