Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Huyo Fue Fue ni Nani?Uamuzi mdogo uliotolewa na Jaji leo umemzuia huyo ndugu kuingia Mahakamani. KWani alifanya nini?
Wanataka kujua kama wanamlipa kihalali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Just imagine waajiri Airtel wapo wanafatilia umahiri wa Meneja mbele ya kina kibatala[emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbeesio mimba ni uvimbe unaosababishwa na ARV ,njaaa Kali ndomana anapambania posho dawa zile inatakiwa kulasana
Nimeshtuka kusikua Fuefu timm asiingie tena mahakamani nikajuwa ni wewe Erythrocyte ulie bambwa?Unajua maana ya mchongo ?
Mtoa mada ana copy Kule twiiter kwa Martin then anatupia hapa JF.Nimeshtuka kusikua Fuefu timm asiingie tena mahakamani nikajuwa ni wewe Erythrocyte ulie bambwa?
Lazima awe mkaidi kama anaulizwa maswali ya kipuuziShahidi mkaidi
Walisomea pia kujibu ujinga [emoji4][emoji4][emoji4]Yaani mwanasheria wa kampuni kubwa kama airtel hajui chain of custody ni nini? Noma aisee
AmenBaraka nyingi sana kwa mreta taarifa
Huo ndio mchongo wenyeweShahidi amekutana na ambacho hakukitegemea, unauzaje Namba iliyo Kwenye Uchunguzi?, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] duuu Airtel Wametoa Kali, Barua ilisema ni unguzi
Siyo mimi mkuuNimeshtuka kusikua Fuefu timm asiingie tena mahakamani nikajuwa ni wewe Erythrocyte ulie bambwa?
Umedanganya sanaMtoa mada ana copy Kule twiiter kwa Martin then anatupia hapa JF.
So wasiwasi muwe nao kumhusu Martin Kule mahakamani
Ninasema hivi mtoa mada ana copy kwa Martin Maranja Masese wa Kule Twitter na sio dhambi lkn Ni vzr ukitoa credit kwa Martin.Umedanganya sana
Hujui haya mambo ya kesi za mahakamani , nyamaza , natambua mchango mzito wa Maranja Masese , lakini kwa hili umenionea sanaNinasema hivi mtoa mada ana copy kwa Martin Maranja Masese wa Kule Twitter na sio dhambi lkn Ni vzr ukitoa credit kwa Martin.
Simple tu.
Acha uongoTaarifa haijakamilika unaeleza kama wote tulikuwa mahakamani.