Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022
Nimeshtuka kusikua Fuefu timm asiingie tena mahakamani nikajuwa ni wewe Erythrocyte ulie bambwa?
Mtoa mada ana copy Kule twiiter kwa Martin then anatupia hapa JF.

So wasiwasi muwe nao kumhusu Martin Kule mahakamani
 
Ninasema hivi mtoa mada ana copy kwa Martin Maranja Masese wa Kule Twitter na sio dhambi lkn Ni vzr ukitoa credit kwa Martin.

Simple tu.
Hujui haya mambo ya kesi za mahakamani , nyamaza , natambua mchango mzito wa Maranja Masese , lakini kwa hili umenionea sana
 
Huku ni kukosa nidhanu kabisa, sasa unawasha simu mahakamani na kuanza kurekodi mwenendo wa kesi. Chadema tuwe wastaarabu.
 
Back
Top Bottom