Watu waepuke kuwa mashahidi wa uwongo.Mungu atawaadhibu
 
Noma sana ! wakuu usije ukathubutu kushiriki mchongo
 
Wakili Peter Kibatala na Mtobesya have to coach their fellow counsel especially John Mallya,Matata on how to cross examine.

I do really appreciate Mr. Kibatala kwa sababu ni fundi sana katika mahojiano kinzani (Cross examination). Hakika bila yeye kusingekuwa na huu udambuudambu.
 
Kibatala: Mwambie Mheshimiwa Jaji Kuwa Barua Iliomba Taarifa namba Ngapi

Shahidi: Namba 3

Kibatala: Na wewe Ukapeleka Majibu ya Taarifa za namba ngapi

Shahidi: Namba 2

Kibatala: Zina oana au zipo tofauti

Shahidi: Zipo tofauti
 
Nilichogundua hapa ni kwamba waajiri wengi wanapenda incompetent persons. Hii ni kwa sababu competent & smart persons hawapendi kuajiriwa.
"Nilichogundua hapa ni kwamba waajiri wengi wanapenda incompetent persons."

Hicho ulichoandikwa Ni Cha kupiga screenshot kabisa.Uko sawa kwa 💯%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…