Kada wa ccm katika ubora wako.
 
Mnafiki weweeeeee
 
Je hilo limebadili kesi kuwa si ya kubumba?
.... ha ha ha! Kwa mataga hiyo imekuwa ajenda; ni ushahidi mzito mno wa kufuta hoja nyingine zote zilizotolewa mahakamani! Mataga wararue mavazi yao maana hakuna tena haja ya ushahidi.
 
..mbona kwenye nchi za wenzetu kesi muhimu zinaonyeshwa live kwenye luninga, achilia mbali kurekodiwa?

..kwanini hapa kwetu kurekodi kesi inazuiliwa au inakuwa nongwa.
 

Yani umekaa kimbea Mbea kweli, wala sio tatizo kubwa Kama unavyo present, Wewe Ni gamba tu!
 
..kuacha simu ikalia mahakamani ni makosa.

..lakini kurekodi ni jambo jema, na tena kesi zikirekodiwa video ni vema zaidi.

..dunia imebadilika sana. Hata hapa JF ni mara ngapi members wamedai video clips ili kujiridhisha na hoja iliyoko mezani?

..uamuzi wa Jaji sio wa busara kama anavyodai, ni uamuzi wa kishamba.
 
Nilikuwepo mahakamani sikusikia.
... endelea kujitoa ufahamu!

 
Sheria zetu zinaruhusu kurekodi mwenendo wa kesi kwa simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…