Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sheria zetu zinaruhusu kurekodi mwenendo wa kesi kwa simu?..kuacha simu ikalia mahakamani ni makosa.
..lakini kurekodi ni jambo jema, na tena kesi zikirekodiwa video ni vema zaidi.
..dunia imebadilika sana. Hata hapa JF ni mara ngapi members wamedai video clips ili kujiridhisha na hoja iliyoko mezani?
..uamuzi wa Jaji sio wa busara kama anavyodai, ni uamuzi wa kishamba.
Wewe endelea na kutafuta Spika mbovu nyingine Chadema haikuhusu. Kwani simu kanipigia mwenyewe? Mbona wengine wakipigiwa simu wanatoka kusikiliza? Kapigiwa simu kajaribu kuikata simu imestuck angefanyaje? Mnajaribu kutungatunga lionekane tukio kubwa kuficha mashahidi wenu wa Mchongo na majiabu ya sijui sijui sijui? Mbona wamekagua alichorekodi Hakuna kitu?Huku ni kukosa nidhanu kabisa, sasa unawasha simu mahakamani na kuanza kurekodi mwenendo wa kesi. Chadema tuwe wastaarabu.
Simu yasimamisha kesi ya kina Mbowe
Simu ya mkononi iliyoita wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu ikiendelea imesababisha Jaji...www.mwananchi.co.tz
Sasa mimi nahusika vipi?Wewe endelea na kutafuta Spika mbovu nyingine Chadema haikuhusu. Kwani simu kanipigia mwenyewe? Mbona wengine wakipigiwa simu wanatoka kusikiliza? Kapigiwa simu kajaribu kuikata simu imestuck angefanyaje? Mnajaribu kutungatunga lionekane tukio kubwa kuficha mashahidi wenu wa Mchongo na majiabu ya sijui sijui sijui? Mbona wamekagua alichorekodi Hakuna kitu?
Utaacha kuhusika mnatafuta Spika Msukuma?Sasa mimi nahusika vipi?
Wakili JOHN MALLYA: Hizo ni fact MpyaHuku ni kukosa nidhanu kabisa, sasa unawasha simu mahakamani na kuanza kurekodi mwenendo wa kesi. Chadema tuwe wastaarabu.
Simu yasimamisha kesi ya kina Mbowe
Simu ya mkononi iliyoita wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu ikiendelea imesababisha Jaji...www.mwananchi.co.tz
Chupa ya mirinda ya mawakili wa serikali hukuisikia juzi kati?Huku ni kukosa nidhanu kabisa, sasa unawasha simu mahakamani na kuanza kurekodi mwenendo wa kesi. Chadema tuwe wastaarabu.
Simu yasimamisha kesi ya kina Mbowe
Simu ya mkononi iliyoita wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu ikiendelea imesababisha Jaji...www.mwananchi.co.tz
Umeelewa?Wakili JOHN MALLYA: Hizo ni fact Mpya
Jaji: alisema Jana kuwa Wana Extract na Kuprint, haiwezi kuzichanganua
Wakili JOHN MALLYA: Sawa Mheshimiwa Jaji
Wakili NASHON NKUNGU: Mheshimiwa Jaji nina maswali na majibu ya Mtobesya ya jana
Jaji: Umesoma wapi?
Nashon Nkungu: Wenzangu walikuwa wame rekodi
Jaji: Umetoa wapi, Naona una refer kwenye simu, wala huna karatasi
Nashon Nkungu: Basi Mheshimiwa Jaji naomba nikae.
Jaji: Inavyoonekana ni kama kuna source nyingine, Maana proceedings bado sija' certificatify, sasa huyo ana refer kwenye simu, inaonekana kuna source nyingine kwenye simu zaidi yangu....
Wakili Peter Kibatala: Mheshimiwa Jaji Technology imekuwa Kubwa Pia, maana hata sisi mawakili tuna Group la WhatsApp na tuna' share Taarifa na nyaraka mbalimbali humo ndani..
Jaji: Ndiyo Nimeona yeye kashika simu na ninachojua Mtobesya atakuwa kaondoka na simu yake, sasa yeye (Nashon Nkungu) anatoa wapi au ana source nyingine?
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
Jaji: tuendelee...
Ewaaaaaaa huoni sasa umethibitisha sio wa kwetuPunguani mkubwa
Hiyo ndo sehemu pekee iliyokufurahisha? Ukiamua kuleta habari jitahidi kuweka ushabiki pembeni ili wale mashabiki na wasio mashabiki wakuelewe vizuri.Wakili JOHN MALLYA: Hizo ni fact Mpya
Jaji: alisema Jana kuwa Wana Extract na Kuprint, haiwezi kuzichanganua
Wakili JOHN MALLYA: Sawa Mheshimiwa Jaji
Wakili NASHON NKUNGU: Mheshimiwa Jaji nina maswali na majibu ya Mtobesya ya jana
Jaji: Umesoma wapi?
Nashon Nkungu: Wenzangu walikuwa wame rekodi
Jaji: Umetoa wapi, Naona una refer kwenye simu, wala huna karatasi
Nashon Nkungu: Basi Mheshimiwa Jaji naomba nikae.
Jaji: Inavyoonekana ni kama kuna source nyingine, Maana proceedings bado sija' certificatify, sasa huyo ana refer kwenye simu, inaonekana kuna source nyingine kwenye simu zaidi yangu....
Wakili Peter Kibatala: Mheshimiwa Jaji Technology imekuwa Kubwa Pia, maana hata sisi mawakili tuna Group la WhatsApp na tuna' share Taarifa na nyaraka mbalimbali humo ndani..
Jaji: Ndiyo Nimeona yeye kashika simu na ninachojua Mtobesya atakuwa kaondoka na simu yake, sasa yeye (Nashon Nkungu) anatoa wapi au ana source nyingine?
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
Jaji: tuendelee...
Sheria zetu zinaruhusu kurekodi mwenendo wa kesi kwa simu?
Hayo ni maoni yako ila FACT ni hizo hapo- aibu kwenuHiyo ndo sehemu pekee iliyokufurahisha? Ukiamua kuleta habari jitahidi kuweka ushabiki pembeni ili wale mashabiki na wasio mashabiki wakuelewe vizuri.
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...Umeelewa?
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...Hiyo ndo sehemu pekee iliyokufurahisha? Ukiamua kuleta habari jitahidi kuweka ushabiki pembeni ili wale mashabiki na wasio mashabiki wakuelewe vizuri.
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...Ni dhahiri mwenye simu hakukusudia, na ndio maana karudishiwa simu yake na hilo katazo la kutoingia kufuatilia muendelezo wa kesi.
Hilo lako la kushauri wasiendelee kurekodi ni ushauri wa kupuuzwa. Hao ndio wanaotuupdate kila leo kesi ikiendelea.
Inavoonekana we hupendi jinsi wanavotuhabarisha hao wadau.