Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Leo muda huu Lissu anasimikwa kuwa chifu wa wasukuma
Uwanja wa joshoni uko shinyanga
View attachment 1556659
Hakika !Lissu hawezi kuwa ngosha.
Wanamdangnya tu.
Unasema kinyooonge!!! Mtakoma mwaka huuMambo mengine ni ya kawaida sana. Cdm munayakuza kutafuta kiki. Lisu ni wakawaida sana kwa Magufuli.
Wakati utueleza Nani ni nani.kwa Sasa wengine tunaweza kuwa wapole.Hicho cheo ni hewa!
Hakujawahi kuwepo chief wa wasukuma as the whole tribe toka dunia iumbwe.
Usukumani kuna chiefdoms kibao kila moja na chief wake ndo hizo zingine za msimu zinasimika yeyote hadi "majogoli".
Mnge-specify kawa chief wa chiefdom ipi!
Mambo mengine ni ya kawaida sana. Cdm munayakuza kutafuta kiki. Lisu ni wakawaida sana kwa Magufuli.
Anavishwa kilemba cha ukoka! Kama ilivyo kua kwa mheshimiwa Lowasa zama zile !Kasimikwa na nani? Na kwa kipi?
Wasukuma tuna taribu zetu si kienyeji hivyo.
Rais hupewa wadhifa huo na makabila mbalimbali akifanya ziara.Hicho cheo ni hewa!
Hakujawahi kuwepo chief wa wasukuma as the whole tribe toka dunia iumbwe.
Usukumani kuna chiefdoms kibao kila moja na chief wake ndo hizo zingine za msimu zinasimika yeyote hadi "majogoli".
Mnge-specify kawa chief wa chiefdom ipi!
Huyu ndo awe chifu wa WASUKUMA huyu????? PumbavuLeo muda huu Lissu anasimikwa kuwa chifu wa wasukuma
Uwanja wa joshoni uko shinyanga
View attachment 1556659
View attachment 1556804
Safari hii lazima mtakuwa vibogoyoPsychological support
Hapo hakuna mzee wa umri ata wa miaka 45,
Kiki nyingine imetengezwaaa,
Tulishasema jamaa yenu bila kiiki na ushuhuda hamna kitu pale,
Hili nalo litabuma tuuuu.
Pipa na funiko mnaliwazanaHakika !
Tatizo ni wivuNaona watu wamepaniki kwani kuna tatizo?
Kumbe umemgundua eeee?Unasema kinyooonge!!! Mtakoma mwaka huu
huyo unaemuona ngosha ni mgogo jiongeze.Lissu hawezi kuwa ngosha.
Wanamdangnya tu.
Anatetemeka tuWakawaida kwani wanaenda kupigana ngumi?.Kura za wananchi ndizo zitakazoamua sasa huo ukawaida wake wewe unautoa wapi.
Wahuni sio watu wazuri wanaharibu taratibu zenu😁😁😁😁Kasimikwa na nani? Na kwa kipi?
Wasukuma tuna taribu zetu si kienyeji hivyo.
MnajifarijiAnavishwa kilemba cha ukoka! Kama ilivyo kua kwa mheshimiwa Lowasa zama zile !
Walikuepo waliodekiwa mabarabaraa, kipigo kikawa kilekile, sembuse huyo analazimisha tumpe uraisi kama kifuta machoziiiiSafari hii lazima mtakuwa vibogoyo
Na wewe ni nani?Wewe ni nani?