Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Hicho cheo ni hewa!

Hakujawahi kuwepo chief wa wasukuma as the whole tribe toka dunia iumbwe.

Usukumani kuna chiefdoms kibao kila moja na chief wake ndo hizo zingine za msimu zinasimika yeyote hadi "majogoli".

Mnge-specify kawa chief wa chiefdom ipi!
Wakati utueleza Nani ni nani.kwa Sasa wengine tunaweza kuwa wapole.
 
Wakawaida kwani wanaenda kupigana ngumi?.Kura za wananchi ndizo zitakazoamua sasa huo ukawaida wake wewe unautoa wapi.
Mambo mengine ni ya kawaida sana. Cdm munayakuza kutafuta kiki. Lisu ni wakawaida sana kwa Magufuli.
 
Hicho cheo ni hewa!

Hakujawahi kuwepo chief wa wasukuma as the whole tribe toka dunia iumbwe.

Usukumani kuna chiefdoms kibao kila moja na chief wake ndo hizo zingine za msimu zinasimika yeyote hadi "majogoli".

Mnge-specify kawa chief wa chiefdom ipi!
Rais hupewa wadhifa huo na makabila mbalimbali akifanya ziara.
Hayo yalifanyika hata kwa watanguzi marais wa nchi hii kwa makabila mbalimbali.
Nyerere alipewa utemi wa wagogo mpaka wakamkabidhi mke, Nyerere ni mgogo?

Lissu anatunukiwa wadhifa mapemaaaa hata kabla ya urais tena la kabila la jiwe.

MTAKOMA MWAKA HUU
 
Kuna moja ya uzi ulishawahi kuletwa hapa jukwaani wa "One term president" nafikiri sasa ni wakati wake wakufikia utimilifu wake wote. Zile sauti za kolidoni na wale wahusika sasa ni wakati wao wakutimiza unabii huu.
 
Psychological support

Hapo hakuna mzee wa umri ata wa miaka 45,
Kiki nyingine imetengezwaaa,
Tulishasema jamaa yenu bila kiiki na ushuhuda hamna kitu pale,
Hili nalo litabuma tuuuu.
Safari hii lazima mtakuwa vibogoyo
 
Back
Top Bottom