Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Hawana hela mkuu! Mbowe alishakula ruzuku yote
 
Tengenezeni majukwa rahisi yanayoweza kuhamishika kirahisi,,hakikisheni mgombea anafanya mkutano mmoja mkubwa na mingine minne midogo kila siku.Mwaka 2005 wakati mbowe anagombea alifanya mikutano mingi sana kwa kutumia chopa nadhani alifanya mikutano mingi kuliko kikwete.Ushindi uko kwa wapiga kura,wafikie wengi kadri iwezekanavyo.Eleza matatizo yao na ufumbuzi wake kwa lugha rahisi ili wapate ujumbe .
 
Hiyo ni chadema iliyopita ya Slaa siyo hii ya Lisu
 
Kuna bwege moja la ccm lilisema Lisu anapita kwenye majiji tu, sasa leo yupo Shinyanga, sijui watakuja na tamko lipi tena.
 
Uchaguzi wa mwaka huu ni kati ya haki na dhulma,Serikali ya dhulma lazima iondoke madarakani
 
Ha ha haaaa. Umeyavua nguo makamanda uchwara
Yamevuliwa kweli picha ile ya Lowasa sumbawanga wameitoa bila haha kusema samahani tumgekaa kimya wangeaminisha dunia kuwa Hugo ni msafara wa Lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…