YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Picha ya sumbawanga 2015 ya msafara wa Lowasa wamekulaghai ukalaghaika barabara UKAAMINI ni msafara wa Lisu wa Leo!!Naona ni bonge la mapokezi View attachment 1556278
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya sumbawanga 2015 ya msafara wa Lowasa wamekulaghai ukalaghaika barabara UKAAMINI ni msafara wa Lisu wa Leo!!Naona ni bonge la mapokezi View attachment 1556278
Hawana hela mkuu! Mbowe alishakula ruzuku yoteMgombea wa CCM anafanya mikutano mingi kwa siku kuliko nyinyi,,maana yake anawafikia wapiga kura wengi zaidi na hapo ndo siri ya ushindi ilipo.Haitoshi kufanya mikutano kwenye miji mikuu pekee,huwezi kushinda uchaguzi kwa strategy za namna hiyo,ni kujidanganya.
Acha kuweweseka wewe!Wewe kijana jezi ya Chadema ya mwaka huu hujaiona au?
Watu mnajua kufukua[emoji87]Bavicha acheni kufoji! Uzuri teknolojia haidanganyiView attachment 1556371
Hiyo ni chadema iliyopita ya Slaa siyo hii ya LisuTengenezeni majukwa rahisi yanayoweza kuhamishika kirahisi,,hakikisheni mgombea anafanya mkutano mmoja mkubwa na mingine minne midogo kila siku.Mwaka 2005 wakati mbowe anagombea alifanya mikutano mingi sana kwa kutumia chopa nadhani alifanya mikutano mingi kuliko kikwete.Ushindi uko kwa wapiga kura,wafikie wengi kadri iwezekanavyo.Eleza matatizo yao na ufumbuzi wake kwa lugha rahisi ili wapate ujumbe .
Pesa sio tatizo,zinaweza kukusanywa kwa njia ya michango ya papo kwa papo na njia nyingine za ki electronic.Hawana hela mkuu! Mbowe alishakula ruzuku yote
Kuna bwege moja la ccm lilisema Lisu anapita kwenye majiji tu, sasa leo yupo Shinyanga, sijui watakuja na tamko lipi tena.WanaJF
Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.
Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Serengeti.
Mgombea huyo wa Urais anaambatana na Mgombea Mwenza Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe
Sisi wa Molemo Media tumesafiri usiku kucha kutokea Mwanza na tupo hapa Shinyanga kuihabarisha dunia.
View attachment 1556310
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ameingia Kanda ya Serengeti (Mara, Shinyanga & Simiyu) ambapo leo atakuwepo Shinyanga Mjini akiambatana na Mgombea-mwenza, Salum Mwalim pamoja na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
MBONA HAPO KULIA SIMUONI MAMA REGINABavicha acheni kufoji! Uzuri teknolojia haidanganyiView attachment 1556371
Kakata tu picha zingine full picture na story yote hii hapaMBONA HAPO KULIA SIMUONI MAMA REGINA
Ndiyo,tunatumia trekta...Mwanza, Shinyanga mnasafiri usiku kucha ?,pathetic!
Picha mpaka zipelekwe kwa fundi azishone ndo mzirushe
Hujambo mkuuAanzishe kampuni ya ulinzi ili awaajiri wa wasiojulikana kwa maana ni wengi na watakosa ajira
Yamevuliwa kweli picha ile ya Lowasa sumbawanga wameitoa bila haha kusema samahani tumgekaa kimya wangeaminisha dunia kuwa Hugo ni msafara wa LisuHa ha haaaa. Umeyavua nguo makamanda uchwara
Chadema akili zao wanazijua wenyeweKakata tu picha zingine full picture na story yote hii hapa
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI