Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Mgombea wa CCM anafanya mikutano mingi kwa siku kuliko nyinyi,,maana yake anawafikia wapiga kura wengi zaidi na hapo ndo siri ya ushindi ilipo.Haitoshi kufanya mikutano kwenye miji mikuu pekee,huwezi kushinda uchaguzi kwa strategy za namna hiyo,ni kujidanganya.
Hawana hela mkuu! Mbowe alishakula ruzuku yote
 
Wewe kijana jezi ya Chadema ya mwaka huu hujaiona au?
Acha kuweweseka wewe!

Huyu ni Lowasa 2015 wakati huo wenye chadema yao walipoamua kuiuza.
Screenshot_2020-09-02-14-17-19.jpeg
 
Tengenezeni majukwa rahisi yanayoweza kuhamishika kirahisi,,hakikisheni mgombea anafanya mkutano mmoja mkubwa na mingine minne midogo kila siku.Mwaka 2005 wakati mbowe anagombea alifanya mikutano mingi sana kwa kutumia chopa nadhani alifanya mikutano mingi kuliko kikwete.Ushindi uko kwa wapiga kura,wafikie wengi kadri iwezekanavyo.Eleza matatizo yao na ufumbuzi wake kwa lugha rahisi ili wapate ujumbe .
 
Hiyo ni chadema iliyopita ya Slaa siyo hii ya Lisu
 
WanaJF

Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.

Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Serengeti.

Mgombea huyo wa Urais anaambatana na Mgombea Mwenza Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe

Sisi wa Molemo Media tumesafiri usiku kucha kutokea Mwanza na tupo hapa Shinyanga kuihabarisha dunia.
View attachment 1556310
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ameingia Kanda ya Serengeti (Mara, Shinyanga & Simiyu) ambapo leo atakuwepo Shinyanga Mjini akiambatana na Mgombea-mwenza, Salum Mwalim pamoja na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Kuna bwege moja la ccm lilisema Lisu anapita kwenye majiji tu, sasa leo yupo Shinyanga, sijui watakuja na tamko lipi tena.
 
Uchaguzi wa mwaka huu ni kati ya haki na dhulma,Serikali ya dhulma lazima iondoke madarakani
 
Ha ha haaaa. Umeyavua nguo makamanda uchwara
Yamevuliwa kweli picha ile ya Lowasa sumbawanga wameitoa bila haha kusema samahani tumgekaa kimya wangeaminisha dunia kuwa Hugo ni msafara wa Lisu
 
Back
Top Bottom