Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Maccm bwana wamerejesha picha za Ukawa ili ionekane kila inachopostiwa himu ni uongo.

Sisi tunaamini ile tunayomuona Lissu mwenyewe.
Hmmmm Baada ya kuumbuliwa mkatoa chap lakini tayari maelfu walishaona ule uongo
 
Tatizo lako molemo taarifa unaleta asubuhi video na picha mpaka uunganishe hapo watu tumehamia kwenye shughuli zingine- jitahidi kuweka picha na video mapema bosi
Aweke picha na video za kabla ya mkutano?
 
Pamoja na kuzuia drone sababu ya Lisu still tunapata picha na video,
Kuuwa upinzani sio rahisi sawa na kufanya ngono
Kwani drone pia ni sehemu ya sera zenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…