Parvovirus
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 268
- 188
Jana wameleta treni lao bovu ili kuzima mziki wa TL but Raia wa Chuga wamewapotezea na mgari moshi wao.
[/Q
Acha utoto upenz wa mtu usikufanye ukawa mjinga... Kuongea ongea ovyo tuu... Kama bovu mbona limafika.... Appreciate juhudi....
Hauziki sasa risasi zilikuwa za nini basi. 🤣 🤣.Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
Umelala hapo mkuu...hahaahaNiko picnic free stress zone bado namsubiri...RAISI WANGU
Kitambo sana kiongozi kwema..Mwenyezi Mungu ni mwema sana Mkuu.
KARATU HwaendiNi Ijumaa tulivu.
Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu.
Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema alisema mapokezi ya Mgombea wao wa Urais yatazidi Kanda nyingine zote alizokwishatembelea.
Tayari Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu hapo Jana walimlaki Lissu maeneo ya mkoani Manyara tayari kuongozana naye kuingia Arusha leo.
He kweli jiji la Arusha litavunja rekodi leo? Tusubiri tuone.
Molemo Media imekwishawasili jijini Arusha kuwaletea moja kwa moja kitakachojiri katika mapokezi hayo ya kihistoria.
Karibuni...
Taarifa za hivi Punde
Ofisi za Chadema Kanda zachomwa Moto.
Kuna taarifa zilizotujia hivi Punde kwamba ofisi za Chadema Kanda ya Kaskazini zimechomwa Moto usiku wa kuamkia Leo na watu wasiojulikana.Hapa ndipo mgombea wa Urais Tundu Lissu alipaswa kupokelewa kwa ajili ya kudhaminiwa.Tunatarajia kupata taarifa kwa kina zaidi asubuhi hii kutoka kwa viongozi wa chama.
Rais ehMapema sana nko hapo kumpokea rais wangu kipenzi .
Mpaka anaota kukifuta ila anashindwa atuie mbinu ipi kitu ambacho hawakijui ni kuwa upinzani ni imani na watu wameweka imani yao kwa chadema hivyo siyo rahisi kuiua chadema sana sana watakufa wao kama alivyokufa Wasira...Chadema inawatesa sana watawala akiwemo msajili was vyama vya siasa.
Tutalipwa matrioni na kila mtanzania atapata noahTutashitakiwa MIGA
Hapo kampeni bado kampeni bado kabisa CDM IMESHASEPA na mikoa KumiMpaka anaota kukifuta ila anashindwa atuie mbinu ipi kitu ambacho hawakijui ni kuwa upinzani ni imani na watu wameweka imani yao kwa chadema hivyo siyo rahisi kuiua chadema sana sana watakufa wao kama alivyokufa Wasira...
Jibu mujarabu kabisa kwa mjingaTutalipwa matrioni na kila mtanzania atapata noah
Kama hauziki si utulie uone, unashida gani wakati ninyi mnamiradi ya kuwauza?Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
Usitupangie muda wa kuanzisha thread, na utasaidia kufikisha page nyingi, utake usitake. Ni quote basi page ziongezeke.Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki