Unafurahia risasi zilizopigwa na mawakala wenu toka kuzimu?Safari wamebadili hawapigi deki barabara ?
Kazi mnayo lakini lile bull dozer likipita huko linavuruga kila kitu, endeleeni kujichosha na kumaliza mate.
Pia muwe makini huyo jamaa yenu bado mgonjwa, anatembea na risasi kiunoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti tatizo lako hasa ni nini?Apati kitu
Ha haha, tena tumegundua anapenda sana jogoo! Basi akipita tunakuja na majogoo yetu.
Kila mtu ashinde mechi zake hakuna kupanga matokeoWalivyo na akili ndogo sijui kama wanajifunza kitu!
Hiyo Miaka 5 mamvi alikua anafanya siasa na nyinyi? Au nyinyi ndo mlikua mnazunguka nchi nzima kumnanga? Matokeo yake mkalamba matapishi yenu. Mamvi alikuja na umaarufu wake Chadema. Infact, ndo aliyewabeba na kuwafanya mpaka leo mnasurvive.
Wabunge aliwapa hilo usikatae. Katika kipindi chote cha uhai wa Chadema hamkuwahi kupata wabunge wengi kiasia kile hasa Katika Miji mikubwa na kanda ya kaskazini. Madiwani mlipata pia wengi ndo maana mkaongoza Halmashauri nyingi. Mengine uliyoyasema kuhusu Mbowe na genge lake sina objection nakubaliana nawewe. Umeongea ukweli mtupu.Miaka mitano tulikuwa tunafanya siasa kwa mujibu wa sheria na katiba, wala haikuwa hisani. Tafuta popote mimi nilipowahi kumsifia hilo jizee taka ngumu toka ccm. Huyo Mamvi alikuta cdm ni maarufu, na kama ni kushuka umaarufu, basi yeye ndio kaushusha. Cdm ilikuwa inajitosheleza, kama sio uhuni wa Mbowe na genge lake, huyo mzee tapeli asingepata nafasi yoyote ndani ya cdm. Kama yeye ndio alitubeba akiwa na miezi miwili, sema alileta wabunge na madiwani wangapi ndani ya miaka miwili aliyokaa, au taja idadi ya matawi aliyofungua ndani ya cdm. Kama hilo jizee ndio lilikuwa maarufu lingeupeleka huo umaarufu wake TLP au APPT MAENDELEO, au unadhani hatujui nguvu za cdm zilitokana na nini? Alaaniwe Mbowe na genge lake kumpokea huyo mzee muhuni aliyewapa hela, na kukinajisi chama.
Wabunge aliwapa hilo usikatae. Katika kipindi chote cha uhai wa Chadema hamkuwahi kupata wabunge wengi kiasia kile hasa Katika Miji mikubwa na kanda ya kaskazini. Madiwani mlipata pia wengi ndo maana mkaongoza Halmashauri nyingi. Mengine uliyoyasema kuhusu Mbowe na genge lake sina objection nakubaliana nawewe. Umeongea ukweli mtupu.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa kweli jini kila mahali upo. Leo tena upo Kahama?
Unahangaika sana utadhani Jiwe alikuambia nikipita awamu ya pili nitakuoa!
KWENYE KUMBUKUMBU ZA NEC MZEE LOWASSA ALIMKOJOLEA MTU KICHWANI .....JAJI LUBUVA BADO YUPO HAI MUULIZENI ANAUJUA UKWELI!53% ALIOPATA HUYO FULANI NI WIZI TU.Hiyo siyo mpya Lowasa mlimdekia hadi barabara!
Kombe linapatika kwenye ballot box, siyo hizo mbwembwe za wana bodaboda
Babangu kawabeba sana Chadema 2015 hadi mmemchosha mapimbi nyie
CDM mnanifurahisha sana kwa kujipa moyo na hao marais wenu wa moyoni. Vipi yule mliyepiga lami rangi alikuwa nani km Tundu ni kiboko!!Huko si ndio Nyumbani kwa Ngosha?? Kuna watu wana nyota ya kupendwa Lissu ni kiboko.
Sasa uhai wa Chadema wewe unaupimaje? Kwa hawa watu wanaokuja kumshangaa mtu aliepigwa risasi akapona kwa muujiza wa mungu? Nadhani Wewe huwajui watanzania. Hata wewe ukijenyea hadharani watu watakuja kukushangaa
Mlisema 2020 upinzani hakuna. Tuache vipi kujipa moyo?CDM mnanifurahisha sana kwa kujipa moyo na hao marais wenu wa moyoni. Vipi yule mliyepiga lami rangi alikuwa nani km Tundu ni kiboko!!
Ndio wakae hapo siku nzima wanamwangalia mtu mmoja?? Hawana kazi eeh! Watanzania sio wajinga. Mmewadanganya for solid 5yrs.Sasa uhai wa Chadema wewe unaupimaje? Kwa hawa watu wanaokuja kumshangaa mtu aliepigwa risasi akapona kwa muujiza wa mungu? Nadhani Wewe huwajui watanzania. Hata wewe ukijenyea hadharani watu watakuja kukushangaa
Huyo mgombea wenu huwa anakaa siku nzima kuhutubia watu?Ndio wakae hapo siku nzima wanamwangalia mtu mmoja?? Hawana kazi eeh! Watanzania sio wajinga. Mmewadanganya for solid 5yrs.
Vumilia hivyo hivyo upepo wa Lissu hauzuiliwi kwa paziaHuyo mgombea wenu huwa anakaa siku nzima kuhutubia watu?
Polee mzee umekurupuka[emoji23]....mi sijamtaja Lissu hapo,,,nimesema "Nawasalimia watu waliokuwa wakisema upinzani umekufa"....sasa wewe hizo habari za watu kumshangaa Lissu sijui umezitoa wapiUsijidanganye Mkuu. Ni kawaida watu kumshangaa mtu aliepatwa na matatizo makubwa kama Lissu. Watu wanaenda kushangaa ndie huyu aliepigwa risasi? Sasa nyinyi mnaichukulia kama ndo kukubalika kwa chama chenu. Hata angekua hana chama still watu wangetoka kumshangaa.