Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Safari wamebadili hawapigi deki barabara ?

Kazi mnayo lakini lile bull dozer likipita huko linavuruga kila kitu, endeleeni kujichosha na kumaliza mate.

Pia muwe makini huyo jamaa yenu bado mgonjwa, anatembea na risasi kiunoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafurahia risasi zilizopigwa na mawakala wenu toka kuzimu?
 
Apati kitu
Binti tatizo lako hasa ni nini?
Shule ndogo?
Akili ndogo?
Uwezo mdogo wa kujitambua?
Haraka?
Kutokuwa makini?
Kwa nini unarudia makosa ya kuandika maneno yasiyokuwepo kwenye kiswahili fasaha?
Hakuna "ata" bali kuna "hata".
Kupigiwa "kura" na si "kula".
"Hapati" na si "apati".
Jirekebishe tafadhali.
 
Hiyo Miaka 5 mamvi alikua anafanya siasa na nyinyi? Au nyinyi ndo mlikua mnazunguka nchi nzima kumnanga? Matokeo yake mkalamba matapishi yenu. Mamvi alikuja na umaarufu wake Chadema. Infact, ndo aliyewabeba na kuwafanya mpaka leo mnasurvive.

Miaka mitano tulikuwa tunafanya siasa kwa mujibu wa sheria na katiba, wala haikuwa hisani. Tafuta popote mimi nilipowahi kumsifia hilo jizee taka ngumu toka ccm. Huyo Mamvi alikuta cdm ni maarufu, na kama ni kushuka umaarufu, basi yeye ndio kaushusha. Cdm ilikuwa inajitosheleza, kama sio uhuni wa Mbowe na genge lake, huyo mzee tapeli asingepata nafasi yoyote ndani ya cdm. Kama yeye ndio alitubeba akiwa na miezi miwili, sema alileta wabunge na madiwani wangapi ndani ya miaka miwili aliyokaa, au taja idadi ya matawi aliyofungua ndani ya cdm. Kama hilo jizee ndio lilikuwa maarufu lingeupeleka huo umaarufu wake TLP au APPT MAENDELEO, au unadhani hatujui nguvu za cdm zilitokana na nini? Alaaniwe Mbowe na genge lake kumpokea huyo mzee muhuni aliyewapa hela, na kukinajisi chama.
 
Wabunge aliwapa hilo usikatae. Katika kipindi chote cha uhai wa Chadema hamkuwahi kupata wabunge wengi kiasia kile hasa Katika Miji mikubwa na kanda ya kaskazini. Madiwani mlipata pia wengi ndo maana mkaongoza Halmashauri nyingi. Mengine uliyoyasema kuhusu Mbowe na genge lake sina objection nakubaliana nawewe. Umeongea ukweli mtupu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Lita 5 za petrol si haba ni zamu yao kufaidi,na ccm wakija wanazipiga
 
Wabunge aliwapa hilo usikatae. Katika kipindi chote cha uhai wa Chadema hamkuwahi kupata wabunge wengi kiasia kile hasa Katika Miji mikubwa na kanda ya kaskazini. Madiwani mlipata pia wengi ndo maana mkaongoza Halmashauri nyingi. Mengine uliyoyasema kuhusu Mbowe na genge lake sina objection nakubaliana nawewe. Umeongea ukweli mtupu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app

Narudia tena, ingekuwa hao wabunge kawapeleka TLP, au SAU hapo ungekuwa na hoja. Ndio maana nimekuambia kama yeye alitupa hao wabunge akiwa na miezi miwili, nitajie alileta wabunge na madiwani wangapi akiwa na miaka miwili? Au taja basi hata matawi ya cdm aliyofungua. Alete wabunge huku alikuwa hawezi kuongea jukwaani kwa dakika 3. Hivi mnatuona hatunazo.

Eti hatujawahi kupata wabunge wengi hivyo. Miaka yote ya uchaguzi cdm wabunge wake wamekuwa wakiongezeka, na wala ongezeko lake halikuanzia kwa Lowassa. Kazi kubwa na hamasa iliyofanywa baada ya uchaguzi mkuu 2010-2015. Hapa ndio asilimia 90 ya ushindi kwa cdm. Sikatai Lowasa alileta viti kadhaa, lakini haifiki 10%, na wengi wa hao wahuni aliokuja nao, ndio walirejea ccm kuunga mkono juhudi.
 
Hiyo siyo mpya Lowasa mlimdekia hadi barabara!

Kombe linapatika kwenye ballot box, siyo hizo mbwembwe za wana bodaboda
KWENYE KUMBUKUMBU ZA NEC MZEE LOWASSA ALIMKOJOLEA MTU KICHWANI .....JAJI LUBUVA BADO YUPO HAI MUULIZENI ANAUJUA UKWELI!53% ALIOPATA HUYO FULANI NI WIZI TU.
 
Huko si ndio Nyumbani kwa Ngosha?? Kuna watu wana nyota ya kupendwa Lissu ni kiboko.
CDM mnanifurahisha sana kwa kujipa moyo na hao marais wenu wa moyoni. Vipi yule mliyepiga lami rangi alikuwa nani km Tundu ni kiboko!!
 
Kama alivyokuwa akijinyea yule bwana mkubwa au ameacha cku hiz?
Sasa uhai wa Chadema wewe unaupimaje? Kwa hawa watu wanaokuja kumshangaa mtu aliepigwa risasi akapona kwa muujiza wa mungu? Nadhani Wewe huwajui watanzania. Hata wewe ukijenyea hadharani watu watakuja kukushangaa
 
CDM mnanifurahisha sana kwa kujipa moyo na hao marais wenu wa moyoni. Vipi yule mliyepiga lami rangi alikuwa nani km Tundu ni kiboko!!
Mlisema 2020 upinzani hakuna. Tuache vipi kujipa moyo?
 
Sasa uhai wa Chadema wewe unaupimaje? Kwa hawa watu wanaokuja kumshangaa mtu aliepigwa risasi akapona kwa muujiza wa mungu? Nadhani Wewe huwajui watanzania. Hata wewe ukijenyea hadharani watu watakuja kukushangaa
Ndio wakae hapo siku nzima wanamwangalia mtu mmoja?? Hawana kazi eeh! Watanzania sio wajinga. Mmewadanganya for solid 5yrs.
 
Chichiem mupo pande hizo
Mtatia akili mwaka huu
*****Upinzani himizeni watu kupiga kura mkombozi ameletwa na Yohana Mbatizaji wa ukweli
 
Usijidanganye Mkuu. Ni kawaida watu kumshangaa mtu aliepatwa na matatizo makubwa kama Lissu. Watu wanaenda kushangaa ndie huyu aliepigwa risasi? Sasa nyinyi mnaichukulia kama ndo kukubalika kwa chama chenu. Hata angekua hana chama still watu wangetoka kumshangaa.
Polee mzee umekurupuka[emoji23]....mi sijamtaja Lissu hapo,,,nimesema "Nawasalimia watu waliokuwa wakisema upinzani umekufa"....sasa wewe hizo habari za watu kumshangaa Lissu sijui umezitoa wapi
 
Back
Top Bottom