Miaka mitano tulikuwa tunafanya siasa kwa mujibu wa sheria na katiba, wala haikuwa hisani. Tafuta popote mimi nilipowahi kumsifia hilo jizee taka ngumu toka ccm. Huyo Mamvi alikuta cdm ni maarufu, na kama ni kushuka umaarufu, basi yeye ndio kaushusha. Cdm ilikuwa inajitosheleza, kama sio uhuni wa Mbowe na genge lake, huyo mzee tapeli asingepata nafasi yoyote ndani ya cdm. Kama yeye ndio alitubeba akiwa na miezi miwili, sema alileta wabunge na madiwani wangapi ndani ya miaka miwili aliyokaa, au taja idadi ya matawi aliyofungua ndani ya cdm. Kama hilo jizee ndio lilikuwa maarufu lingeupeleka huo umaarufu wake TLP au APPT MAENDELEO, au unadhani hatujui nguvu za cdm zilitokana na nini? Alaaniwe Mbowe na genge lake kumpokea huyo mzee muhuni aliyewapa hela, na kukinajisi chama.