Unadhani hawakumbuki matusi yake? Mara wanapanuliwa, Mara hakuleta njaa, au tetemeko, Mara mashangazi atawatengua nk? Sasa umefika wakati wa hao wazee na wanawake naye kumtengua au kumpanua!Boda boda hawawezi mpeleka mtu IKULU wapo kazini tu, wanasubiri mafuta na hela ya ugoro. Siku ya uchaguzi watafanya kazi ya kupeleka wakina mama na wazee kupiga kura na hao watamchagua baba lao DrJPM. Subiri na uone.....!!!
Wewe utakuwa kweli jini kila mahali upo. Leo tena upo Kahama?Yale yale ya mwaka 2015,Niko hapa kahama sioni shamla shamla yoyote,na isitoshe wamewekewa mafuta lita mbili kila bodaboda sasa hata kama in mimi kwanini nisijifanye nampenda Huyo lissu wenu
Ukweli mtaujua October, hamtarudia tena kumsimamisha huyu lissu maana kipigo atakachopata ni cha jini kahaba
Hajui kutofautisha huyo kikaragosi. Yeye kwake mazingira ya 2015 na Leo anaona sawa tuu kwa vile shemeji yake bado anamtunza bila kubadilika.Kipindi hicho cha Mamvi kulikuwa na siasa za kishenzi kama hizi? Kulikuwa na kundi la watu wasiojulikana? Wakati ule upinzani ulifanya siasa kwa miaka mitano mfululizo, je safari hii hujui kuwa siasa zimeanza kufanyika wiki 3 zilizopita ndani ya hii miaka mitano tu? Au hujui hata kufananisha?
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.
Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa
Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118
Duh! Sawa!
Dawa ni dawa 75%.
Hiyo ndio maana ya game changer.
Eti CHADEMA imekufa, mfyooooooooooooooooooooooooooo, wafe wao na Jiw wao!
Ingekependeza zaidi kama vyombo vyetu vya habari navyo vikampa coverage walau ya nusu ya Mwenyekiti wa chama chetu, ili tuweze kuona na kupima kiuhalisia nguvu zetu CCM!
Lissu The Greatest
Mungu endelea kumbariki Lissu
Lah, kweli Lissu ni game changer!!
Kwa hiyo ikulu mtu anapelekwa na Nani mkuu ?je ni Police ,TISS na tume siyo mkuu?Boda boda hawawezi mpeleka mtu IKULU wapo kazini tu, wanasubiri mafuta na hela ya ugoro. Siku ya uchaguzi watafanya kazi ya kupeleka wakina mama na wazee kupiga kura na hao watamchagua baba lao DrJPM. Subiri na uone.....!!!
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.
Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa
Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118
Wapiga kura makiniKwa hiyo ikulu mtu napelekwa na Nani? Police ,TISS na tume siyo mkuu?
Ndo akina nani hao? Wakulima ,wafanyakazi au mawaziri?Wapiga kura makini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka mkubwa hii uliyotoa leo kali sanaEti CHADEMA imekufa, mfyooooooooooooooooooooooooooo, wafe wao na Jiw wao!
Watu wenye uelewa, hawachagui kwa kumhurumia mtu. IKULU siyo sehemu ya hisani ni sehemu ya kutumikia watanzania, lazima mtu anadi atakachofanya akichaguliwa na awe na uwezo wa kufanya hayo, siyo kunadi mipasho!!Ndo akina nani hao? Wakulima ,wafanyakazi au mawaziri?
Sasa Magu pale ikulu anamtumikia NaniWatu wenye uelewa, hawachagui kwa kumhurumia mtu. IKULU siyo sehemu ya hisani ni sehemu ya kutumikia watanzania, lazima mtu anadi atakachofanya akichaguliwa na awe na uwezo wa kufanya hayo, siyo kunadi mipasho!!
Bodaboda wanalipwa hawana shida hata ukitaka mji mzimaKwa 'uwingi' huo wa bodaboda kweli atashindana lkn hatashinda!
Magufuli akipita mahali Watu wanajaa barabarani hahitaji mbwembwe za kukodi bodaboda !! Wanajipanga Bure
Magufuli akipita mahali Watu wanajaa barabarani hahitaji mbwembwe za kukodi bodaboda !! Wanajipanga Bure
Lisu anatumia mbinu ya Lowasa iliyoshindwa ya kumwaga pesa bodaboda !!! Walau naye a steam out frustration zake kuwa ana escort ya bodaboda za kukodi!!!!!