Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Na nyingine hii👇
 
Tuwakumbushe tu wasiojua...

Kahama ni USUKUMANI kwa John Pombe Magufuli....

Hii ishara kuwa, hata nduguze hawamtaki, wanataka aondoke...
Hahaha unajua wasukuma wewe? Au unachochea ukabila
 
NAWASALIMIA SANA WALE WALIOKUWA WAKISEMA UPINZANI UMEKUFA[emoji41][emoji41]
Usijidanganye Mkuu. Ni kawaida watu kumshangaa mtu aliepatwa na matatizo makubwa kama Lissu. Watu wanaenda kushangaa ndie huyu aliepigwa risasi? Sasa nyinyi mnaichukulia kama ndo kukubalika kwa chama chenu. Hata angekua hana chama still watu wangetoka kumshangaa.
 
I like what i see, Tundu Lissu ni game changer, amekuja kubadilisha the whole dynamic ya Tanzania politics. Kikubwa zaid kwa hoja zake nzito chama tawala na wafuasi wake wamejikuta wakikaa kwenye defensive mode. Huyu ndo aina ya mpinzani anayehitajika kwenye mazingira ya sasa.
 
Hata kura atazipata kwa namna hiyo hiyo ya kushangaza
 
Hiyo Miaka 5 mamvi alikua anafanya siasa na nyinyi? Au nyinyi ndo mlikua mnazunguka nchi nzima kumnanga? Matokeo yake mkalamba matapishi yenu. Mamvi alikuja na umaarufu wake Chadema. Infact, ndo aliyewabeba na kuwafanya mpaka leo mnasurvive.
 
Lissu mwanasiasa mwingine mnyapara wa barabara anajua idadi ya kokoto
 
Hiyo Miaka 5 mamvi alikua anafanya siasa na nyinyi? Au nyinyi ndo mlikua mnazunguka nchi nzima kumnanga? Matokeo yake mkalamba matapishi yenu. Mamvi alikuja na umaarufu wake Chadema. Infact, ndo aliyewabeba na kuwafanya mpaka leo mnasurvive.
Unaota wewe ..si mlisema lissu hawezi kurudi na chadema ilishakufa ?? Mbona mnajinyea nyea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…