Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,358
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.

Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa

Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
 
Back
Top Bottom