johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sio kazi yangu,Karoti na pilipili hoho zinanisumbua shambaniKamshauri chakubanga
Sawa chagua mojaSio kazi yangu,Karoti na pilipili hoho zinanisumbua shambani
Ukiitwa mramba miguu unarusha ngumi hewaniNipo hapa mkoani Kagera na kwa kweli mambo ni moto baada ya mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM Dr Magufuli kumaliza kampeni na kuelekea Kigoma ambako mapokezi yake huko yameisimamisha Kigoma yote, hapa Kagera wameingia Yanga timu ya wananchi.
Ngoja nimtafute bwashee mrangi tubadilishane mawazo maana huku ndio kwao.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Umeshapanic na povu juu!Ukiitwa mramba miguu unarusha ngumi hewani
Zidumu!Rangi za kijani na Njano hapa Tanzania zinapendwa na Watanzania wengi Sana kuliko nyekundu na nyeupe maana huko kumejaa Wahuni na wababaishaji tu.
Zidumu hizi Rangi pendwa.
Sio wewe ndo unafaa kuitwa mramba miguu ya lissu na mabeberu wake waliomtuma kuja kugombea urais ?Ukiitwa mramba miguu unarusha ngumi hewani
Mkuu uko sahihi kabisa!Sio wewe ndo unafaa kuitwa mramba miguu ya lissu na mabeberu wake waliomtuma kuja kugombea urais ?
Ipi sasa mbona unanichanganya!!???Sawa chagua moja
Nipo hapa mkoani Kagera na kwa kweli mambo ni moto baada ya mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM Dr Magufuli kumaliza kampeni na kuelekea Kigoma ambako mapokezi yake huko yameisimamisha Kigoma yote, hapa Kagera wameingia Yanga timu ya wananchi.
Ngoja nimtafute bwashee mrangi tubadilishane mawazo maana huku ndio kwao.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee karibu Kaitaba jumamosi!View attachment 1572723
Kweli kabisa, kijani na njano hoooyiiiiii!
Subirini tu mh Lissu akiingia ikulu tu mjiandae kurudi kwenu Burundi, washuti nyieSio wewe ndo unafaa kuitwa mramba miguu ya lissu na mabeberu wake waliomtuma kuja kugombea urais ?
Mwaka 2100? lissu mwenyewe atakuwa alishajifia zamani.Subirini tu mh Lissu akiingia ikulu tu mjiandae kurudi kwenu Burundi, washuti nyie