johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nipo hapa mkoani Kagera na kwa kweli mambo ni moto baada ya Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM Dr Magufuli kumaliza kampeni na kuelekea Kigoma ambako mapokezi yake huko yameisimamisha Kigoma yote, hapa Kagera wameingia Yanga timu ya wananchi.
Ngoja nimtafute bwashee mrangi tubadilishane mawazo maana huku ndio kwao.
Maendeleo hayana vyama!
Ngoja nimtafute bwashee mrangi tubadilishane mawazo maana huku ndio kwao.
Maendeleo hayana vyama!